Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

Nimeapply

Anhaa, Mungu akutangulie upate aisee.
Sema nini usikae kizembe aisee, usaili wa askari kwa TFS nadhani hautokua na tofauti sana na askari wa Tanapa hasa mkija kuambiwa Tpdf itahusika.

Kama sio mtu wa mazoezi hutoboi.
 
Aamin bro
 
Niko vizur mzee
 
Niko vizur mzee
Hahaa!

Sawa mzee, sema andaa pumzi na mbio aisee.
Askari wanyamapori kwa NCAA na Tanapa askari sifa mbio. Nadhani si mbaya ukajifua na hivi kwa ajili ya TFS.
Usaili wa vitendo huanza na mbio ndefu yani, Ngorongoro huwa ni 3km na Tanapa ni 2.7~2.9km, marks hapo huwa ni 20 ukimaliza chini ya 5 minutes. Ukifika dk ya 5-6 huwa ni 10. Dk ya sita kuendelea umetaga.
 
NCAA sijaifaham mzee
 
Usaili makao makuu kwa watu wa fani vipi tayari au bado
 
Mzeee chini ya jua hakuna kina kwama haswa ukiwa na mbangaaa
 
Back
Top Bottom