Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

𝐖𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐰𝐞𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐞𝐳𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐚𝐰𝐞 𝐚𝐦𝐞𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐨 𝐲𝐚 𝐉𝐊𝐓 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐯𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐭𝐮𝐧𝐠𝐞𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐦𝐫𝐚𝐝𝐢 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨 𝐮𝐢𝐧𝐠𝐢𝐞 𝐤𝐢𝐧𝐲𝐰𝐚𝐧𝐢 𝐭𝐮
 
Vijana wanasimamisha minazi tu washasahau kitaa kilivyo [emoji3]
IMG_20220629_152537.jpg
 
n

Nimemsikia IGp sirro akisema wale jamaa waliotimuliwa mafunzoni wazazi wao wana muomba na wanamsumbua sna ili awarudishe mafunzoni.ila amedai haiwezi kuwa sababu ukitimuliwa na watu wamafunzo tafsiri yake hufai kinidhamu kuwatumikia wananchi
Duuh hatari ndio ishakula kwao waje tu kitaa
 
Back
Top Bottom