Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Bado mkuu nimetoka kuangalia mda si mrefu ngoja tuone kuanzia keshoTFS nao kimyaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mkuu nimetoka kuangalia mda si mrefu ngoja tuone kuanzia keshoTFS nao kimyaa
Aina nomaBado mkuu nimetoka kuangalia mda si mrefu ngoja tuone kuanzia kesho
Tuwe wavumilivu mzeeHawa nao wanasubiri sensa ama nn
Noma SanBaada ya kutoka hawa kesho kutwa Wengine wanaingia chapu kwa haraka. Hakuna kupoa View attachment 2288057
Hakuna kupoa hiyo watu wamechokaBaada ya kutoka hawa kesho kutwa Wengine wanaingia chapu kwa haraka. Hakuna kupoa View attachment 2288057
Kwa percent flani kuna ukweli ila pia nadhani tpdf wana namna zao za ku recruit freshers hasa wale ambao wapo mwaka wa kwanza mavyuoni kozi za afya na uinjinia ndo wanaotakiwa hasa .Usijidanganye hakuna mbinu hizo TZ zaid ya connection had sahiz kuna vijana zaid ya vijana 6000 wanapiga course ya tpdf na hujaskia sehemu wametangaza jiulize wametoka wapi
Anhaa, Mungu akutangulie upate aisee.
Sema nini usikae kizembe aisee, usaili wa askari kwa TFS nadhani hautokua na tofauti sana na askari wa Tanapa hasa mkija kuambiwa Tpdf itahusika.
Kama sio mtu wa mazoezi hutoboi.
Hahaa au sio [emoji3]Msitishike sana sana ni kulenga shabaha, sahili na kozi za majeshi huwa havina rehearsal
Heheheh! Sio lazima upate 100% we kazijaze kwenye target uone unavyoteka show hahah!Hahaa au sio [emoji3]
Sema kweli kozi haina tuition, sema utakubaliana na mimi kuwa lazima mtu awe fiti .
Kwa Tanapa, usaili wa askari wanyamapori/ conservation rangers hufanyika 833 KJ (Oljoro- Arusha)
Muda wa usaili ni wiki nzima. Kila siku watu wanachujwa mpaka watakaobaki kuingia oral interview.
Siku ya kwanza mtareport.
siku ya pili ni kufanyiwa vipimo vya afya; damu, sukari, mishono, pressure, mimba (mademu), marinda, ngwengwe etc etc ukikutwa haupo kamili unaondoka.
Siku ya tatu ndo shughuli inaanza,
Mbio ndefu ( hapa kuna 20%) umbali ni 2.7 km, muda ni dakika 5, ukimaliza kabla ya 5 minutes (una 20), ukifika kuanzia dakika ya 5- mpaka dk 5 : 30 seconds (15%), dk ya 5:30 mpaka dk ya 6 (10%). Dakika ya sita kuendelea una zero.
Mbio fupi (10%) umbali ni mita 200 (muda 40 secs)
Halafu mnakatwa vibangala labda vya watu 15, askari wa JWTZ au Tanapa anasimama nyuma yako anakuhesabia akiwa na karatasi lako la marks.
Push- ups 30 muda ni sekunde 30.
Inafuata kata tumbo 30, muda ni 30 secs.
Mkimaliza hapa mnaenda uwanja wa vikwazo :
Zoezi la kwanza huwa ni Chin ups, hapa unatakiwa ulirukie bomba fulani hivi na ujivute mara 15+
Halafu zoezi linalofuata ni kuruka kisima cha maji kwa kamba (20%), hapa watu huwa wanaogelea kichizi.
Wanamalizia kwa kuruka ukuta wa futi 6.
Mkimaliza hayo yote sasa ndiyo mnaenda range, hapa napo watu hupiga mijusi kinoma.
Kwenye mazoezi yote hayo ukipata zaidi ya 50% ndiyo mnabaki kupiga oral
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mbona hawa jamaa wana usaili mgumu sana kuliko majeshi mengine ?Hahaa au sio [emoji3]

Oya man inakuaga sio poa kmmk!Dah mbona hawa jamaa wana usaili mgumu sana kuliko majeshi mengine ?
Wana maslahi mazuri sana eeh ,?Sema kwa wanyamapori sifa mbio aisee, maana porini kuna kukimbia nyati na tembo.
Sema ukijiandaa unatoboa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo vizuri man, si unajua nao ni jeshi sikuhizi, JUTZ ( Jeshi la Uhifadhi Tanzania). Pay yao ilikua 900k kasoro kabla ya Mama Samia kupandisha mishahara, kuna Housing allowance 150k, kukaa porini usiku, doria, safari, nauli, kazi maalum, chakula na vinywaji vyote hivyo unapewa posho.Wana maslahi mazuri sana eeh ,?
Tukatumikie taifa [emoji2]Majina yametoka huko kila la kheri vijana
hongera sana afsaTukatumikie taifa [emoji2]
Vp umepenya[emoji23]Tukatumikie taifa [emoji2]