Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
wa dar es salaam mvua hiyoo inanyesha ndo msimu wa kulima mihogo tujiajiri tuu ndo kilichobak
 
Nani aliyekuambia au unadanganya wenzako tu..... Waalimu vuten subira ajira zitatoka mwezi wa nne kuripot wa tano
Kuanzia Julai posho ni 100,000/= kwa jiji na manispaa, 80,000/= mkoani na wilayani na kwingineko ni 60,00/=kwa mujibu wa Waraka wa Watumishi wa Serikali Na. 4 wa 24 Novemba 2014. Asije akawadhulumu mtu haki zenu. Mara nyingi wakubwa wanaficha hizi nyaraka kusudi wawapunje haswa walimu.
 
Hivi hawa maccm wa wapi hawa? serikali inashindwa hata kujiongeza kufikiria,bajeti ya waalim ilipangwa tokea mwaka jana july,sasa inasubir nn kuwaajiri waalim,kwahili serikali imechemka,
 
Hivi hawa maccm wa wapi hawa? serikali inashindwa hata kujiongeza kufikiria,bajeti ya waalim ilipangwa tokea mwaka jana july,sasa inasubir nn kuwaajiri waalim,kwahili serikali imechemka,

Hi nchi bhana yan, hapa saiz nipo tunduma vurugu zimetokea kati ya ccm na chadema, sababu eneo ambalo chadema wanataka jenga zahanati sisiem wanadai et ni eneo lao.

cha ajabu hlo eneo haliwanufaish wananchi badala yake huwa wanapak magar ya makubwa yanayo enda zaire..
 
duu! kwakwel maccm hayajiwez kabisa,nchi imewashinda hii waachie ngazi kila kona ya nchi ni kero za maccm.
 
Hapo ndipo tulipofikia Tanzania hakuna haki bila kukimbizana.
 
Hivi hawa maccm wa wapi hawa? serikali inashindwa hata kujiongeza kufikiria,bajeti ya waalim ilipangwa tokea mwaka jana july,sasa inasubir nn kuwaajiri waalim,kwahili serikali imechemka,

Tukiwa wanaharakati wanasema sisi ni ukawa.. .I hate ccm yaan wanafanya hii nchi iwe zaid ya geto... Af hawajui kuwa hao waalimu wanavyozid kuwacheleweshea ajira zao wanawapa credit upinzan??? Ukawa tuchukue hii nchi maanake
 
nawaambieni sasa wakiingia hapo wanyofoa vipengele vya katiba ndio mtakoma kuringa haitakua geto tena bali itakua danguro
 
Tukiwa wanaharakati wanasema sisi ni ukawa.. .I hate ccm yaan wanafanya hii nchi iwe zaid ya geto... Af hawajui kuwa hao waalimu wanavyozid kuwacheleweshea ajira zao wanawapa credit upinzan??? Ukawa tuchukue hii nchi maanake

tatizo walishazoea kutudanganya na tulikua tunakubali bt nw hatuwezi vumilia tena uovu wowote....ccm siyo chama kibaya ila sasa tatizo lao hua hawataki kukubali ukweli hata sehemu ambapo ukweli upo wazi
 
yaan mm nahc kulia kwa jinc nlivosubiria leo Mungu anajua

cha msingi ni kuomba Mungu tu tuchaguliwe......maana unaweza ukasubiri kwa hafu afu ukosekane so tumwombe tu Mungu na sisi tuwemo kwenye list ya waajiriwa wapya
 
tatizo walishazoea kutudanganya na tulikua tunakubali bt nw hatuwezi vumilia tena uovu wowote....ccm siyo chama kibaya ila sasa tatizo lao hua hawataki kukubali ukweli hata sehemu ambapo ukweli upo wazi

Kiukwel walimu tuna nafasi kubwa sana ktk kuleta chachu ya mabadiliko ndan ya hili taifa,tukiwa kama waalimu tunauwezo wa kupanda mbegu za kila namna ktk jamii yetu, nashangaa cna kuona serikali inashndwa kumthamin mwalimu,najua mpo watu mnaopeleka taarifa mahala husika "juwen kuwa mnajichmbia shimo wenyewe" tukiongea cna eti mnasema tumetumwa na ukawa,wakati serikal inashindwa kufanya mambo kwa wakati,
 
mungu atajibu maombi, i hope within this week evry thng wil b okay.
 
cha msingi ni kuomba Mungu tu tuchaguliwe......maana unaweza ukasubiri kwa hafu afu ukosekane so tumwombe tu Mungu na sisi tuwemo kwenye list ya waajiriwa wapya

kweli bana ilo ndo la muhm kumuomba Mungu upangiwe hata wakitoa may
 
Mbona unaenda chaka swali jepesi kabisa??
Mtu kauliza mambo mengine we unajibu vingine
Duuh.....

Ndo walivyo walimu wa siku hizi. Huwezi kuwa na walimu wa namna hii alafu utegemee wanafunzi wafaulu vizuri labda huibe mtihani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…