Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
Hakuna ajuaye Ajira lini. Umetumiwa edited attachment
 
Kwa degree posho ya kujikimu 65000 x 7 then unapewa na nauli nauli (tunza tiketi)
...... Tunza tiketi.

Yapo maeneo kama manispaa za dsm posho ni 100000 x 7 na nauli pia....

HIZO ZINGINE MBWEMBWE na zinatolewa na wasioelewa

NB. nadeclare interest kuwa mimi ni HR so i know....

Kuhusu posho ya mazingira serikali bado kigugumizi ila ilipendekezwa bungeni

regards

Mmmmmh!!!! Mhe HRO inamaana mwenye degree anapata 65,000 popote alipo hata kama siyo jiji/Manispaa??? Na huo waraka unaowapa upendeleo watumishi wa dsm kupata 100,000 kwa siku ni upi???

Mhe HRO sio kwamba Manispaa na majiji posho ni 65,000 na Halmashauri za wilaya posho ni 45,000 times 7 days????? By the way, ww ni HRO wa Wapi??? Hatari sana hii kama haya yanasemwa na HRO basi kuna tatizo hapa!!!!
 
Tena kubwaaaa
 
Ni July ndugu sio may nmewasiliana na watu wa wizara...

Acha utaahira wewe unawatia hofu watu bure....

July hizo ajira ni za mwaka UPI Wa fedha? unajua budget ya ajira ya mwaka huu inaishia lini?

Kaa kimya tu kuliko kujidhalilisha namna hii
 
Tulitegemea mzigo utatoka kuanzia jana ila bado hadi leo march 16/ mambo sio. Na hakuna maelezo.
issue za kusema ajira hadi mwezi wa tano..au july hilo halipo coz we ar waiting for an official announcemnt from the government.
seee yaaa then. Ula hadi tarehe 20 mrch kitataeleweka.
 
Ukiona hivyo jua nchi imeuzwa hii .. Walimu tafuten alternative... Kiukweli serikali ya ccm haiwatendei haki..
 
Hawa jamaa kwel wanatesa. hata kama yupo mhusika maeneo haya, mnachofanya sio fair kimya mno walimu taraji wanaish kwa kukisia uku ktaaa, ona akina chichimizi, kachoka ameamua atulie tu.

Au kwa vle nyie mna pesa za kujikimu ndo maana amuujui uchungu huu wa walimu dah ..

haya bhana nchi ya amani tanzania..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom