gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
HIO siku HAIPOUsijalii mkuu,,, wakatii wa Mungu ni wakati sahihi ipo siku utaona manufaa ya elimu yko na utasahau yote hayo
Shule haina maana kama hauna uwezo wakubadilii maisha yako .Ambae hajaenda shule anakuambia shule ulienda ya nini? "INAUMA". Ila uliyeenda shule una mwanga zaidi, sema tu pesa imekataa.
Kuna watu wanagonga mawe per day analala na Buku 3/4/5 alafu kuna Boya mmoja yeye anafanya kazi ya kupigwa na kiyoyozi tu per day analala na Si chini ya 500k mpaka 1M per day, so who is who?Vijana wote mnaoteseka na ugumu wa maisha jithidini mjifunze michezo na mjifunze kwenda kabla ya kwenda na kufanya kabla ya kufanya.
Sio lazima uwe tajiri Ila hizi hela za kula mil tano kumi na kuhudumia familia unabidi kuwa nazo.
Hard work sio kigezo cha kuwa na pesa if you hustle in vain.
Tafuteni energy kwaza ya kuendesha mambo .
Mtaji wa Nini? usitake nikupe lugha chafu Msenge wewe, mmekaa tu HUKO vijana mjiajiri alafu mnalazimisha Watoto waende Shule km SIO usenge ni Nini wakimaliza Shule Ajira hamuwapi Si usenge HUO fungeni vyuo basiKama umesoma halafu unajihisi kudharauliwa na ambae hajasoma basi ni kweli umeenda shule kupoteza muda..
Elimu ni mtaji In Ndalichako Voice
Wengi wanasoma kuwafurahisha Wazazi na Wazazi wanafosiwa na Serikali wawapeleke watoto Shule which is which? Mtoto akimaliza hapati Ajira anabikia mtaani TU huo ni usengeShule haina maana kama hauna uwezo wakubadilii maisha yako .
Dr unamshauri aende kwa wataalamu😊😊.Tumia njia za asili tofauti na hapo mambo sio marahisi don't agree to hustle in vain
Wewe mara ya Mwisho kuhudhulia kwa Mganga ni lini?Tumia njia za asili tofauti na hapo mambo sio marahisi don't agree to hustle in vain
Refa na mganga mkweli😹Tz ya leo "ajira ni lazima uwe na refa".
Kwani elimu na pesa kipi bora?Ambae hajaenda shule anakuambia shule ulienda ya nini? "INAUMA". Ila uliyeenda shule una mwanga zaidi, sema tu pesa imekataa.
Pia ukiwa na Sambusa inakupa wepesi zaidi, elewa Neno Sambusa sababu najua una SambusaRefa na mganga mkweli😹
Sio dharau ndio ukweli huoHakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Pesa Babu Mimi nilikua nakaa upande huo ingawa walimu walikua wanataka tulale upande wa elimuKwani elimu na pesa kipi bora?
Kama hilo linakuuma maana yake elimu yako haijakusaidia na kweli shule ulienda kupoteza muda.Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Sijamaanisha uchawiWewe mara ya Mwisho kuhudhulia kwa Mganga ni lini?
Dr unamshauri aende kwa wataalamu😊😊.
I will be somewere on the surface of the earth.You are standing somewhere on the surface of the Earth. You walk 1 mile south, then 1 mile west, and then 1 mile north, and you end up back at the same point where you started. Where are you?