Ajira ni mtihani

Ajira ni mtihani

Vijana wote mnaoteseka na ugumu wa maisha jithidini mjifunze michezo na mjifunze kwenda kabla ya kwenda na kufanya kabla ya kufanya.

Sio lazima uwe tajiri Ila hizi hela za kula mil tano kumi na kuhudumia familia unabidi kuwa nazo.

Hard work sio kigezo cha kuwa na pesa if you hustle in vain.

Tafuteni energy kwaza ya kuendesha mambo .
 
Kuna watu wanagonga mawe per day analala na Buku 3/4/5 alafu kuna Boya mmoja yeye anafanya kazi ya kupigwa na kiyoyozi tu per day analala na Si chini ya 500k mpaka 1M per day, so who is who?
 
Kama umesoma halafu unajihisi kudharauliwa na ambae hajasoma basi ni kweli umeenda shule kupoteza muda..

Elimu ni mtaji In Ndalichako Voice
Mtaji wa Nini? usitake nikupe lugha chafu Msenge wewe, mmekaa tu HUKO vijana mjiajiri alafu mnalazimisha Watoto waende Shule km SIO usenge ni Nini wakimaliza Shule Ajira hamuwapi Si usenge HUO fungeni vyuo basi
 
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.

Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Sio dharau ndio ukweli huo
 
Kama hilo linakuuma maana yake elimu yako haijakusaidia na kweli shule ulienda kupoteza muda.
Changamoto kama hiyo inakusumbua, utaweza kutatua kubwa?
 
Back
Top Bottom