DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni swala la muda tuNi kweli kabisa Cha msingi uvumilivu tu na dua kwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni swala la muda tuNi kweli kabisa Cha msingi uvumilivu tu na dua kwa sana
Yatapita tu hayo...usiyawaze Sana hata kupoteza matumaini.Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Pw mzeeYatapita tu hayo...usiyawaze Sana hata kupoteza matumaini.
Nimependa jinsi ulivyodiverge, that's the spirit mkuu. Yaani varsity ukasoma kitu fulani, then ukaingia mtaani ukaona no way, I can't survive this way, ukatafuta firsa nyingine....nimeipenda!!Bwamdogo anafikiria akipata kazi ndo dharau zitaisha! Dogo wenzio tumemaliza 2012 tukasota wee, tukajiongeza na mtaa, niliamua kuendeleza kipaji changu cha utoto cha ufundi, nikaingia gereji leo mi ni fundi wa umeme wa magari. Yan fresh tuu hakuna mtu anajua nina degree na nimesogea sehemu flani kimaisha. Weka degree pembeni afu tumia ulichonacho "kusavaivu" bwa mdogo. Nilikaa gereji mwaka tuu nikawa nimejifunza kazi kibishi sana, uzuri wa gereji hatubaniani kufundishana kazi madam uwe mtii, kujituma na kuheshimu watu wanaokufundisha. Alhamdulilah degree yao nishaisahau kabatini huko.
Nimependa jinsi ulivyodiverge, that's the spirit mkuu. Yaani varsity ukasoma kitu fulani, then ukaingia mtaani ukaona no way, I can't survive this way, ukatafuta firsa nyingine....nimeipenda!!
Sasa kwa ufundi huo na degree yako, you have a very bright future kama utaamua kujiendeleza.
Yaani mnababaishwa na la saba Ambae hata kingereza hajui yaani mtu uwe hata degree Gani? Ukidharauliwa na la saba jitafakari sana aisee. Maneno mengi ya hao jamaa sio dharau ni defency mechanism
Mpaka umepigwa ban kijana mbona mambo madogo haya?. Stress za kuachwa au?Mtaji wa Nini? usitake nikupe lugha chafu Msenge wewe, mmekaa tu HUKO vijana mjiajiri alafu mnalazimisha Watoto waende Shule km SIO usenge ni Nini wakimaliza Shule Ajira hamuwapi Si usenge HUO fungeni vyuo basi
Na ni mgumu ukiwa una refa.Ni mtihani rahisi sana ukiwa na refa.