Ajira ni mtihani

Yatapita tu hayo...usiyawaze Sana hata kupoteza matumaini.
 
Yaani mnababaishwa na la saba Ambae hata kingereza hajui yaani mtu uwe hata degree Gani? Ukidharauliwa na la saba jitafakari sana aisee. Maneno mengi ya hao jamaa sio dharau ni defency mechanism
 
Nimependa jinsi ulivyodiverge, that's the spirit mkuu. Yaani varsity ukasoma kitu fulani, then ukaingia mtaani ukaona no way, I can't survive this way, ukatafuta firsa nyingine....nimeipenda!!

Sasa kwa ufundi huo na degree yako, you have a very bright future kama utaamua kujiendeleza.
 

Yaani mkuu ningesema nisijiongeze wenda mpaka leo ningekuwa bado sijaeleweka. Si unajua degree zetu hizi za sanaa mkuu. Ni hatari
 
Tufanyaje sasa
Yaani mnababaishwa na la saba Ambae hata kingereza hajui yaani mtu uwe hata degree Gani? Ukidharauliwa na la saba jitafakari sana aisee. Maneno mengi ya hao jamaa sio dharau ni defency mechanism
 
Mtaji wa Nini? usitake nikupe lugha chafu Msenge wewe, mmekaa tu HUKO vijana mjiajiri alafu mnalazimisha Watoto waende Shule km SIO usenge ni Nini wakimaliza Shule Ajira hamuwapi Si usenge HUO fungeni vyuo basi
Mpaka umepigwa ban kijana mbona mambo madogo haya?. Stress za kuachwa au?
 
Vipi lakini kakilipa??
Labda ujira wako kajumuisha na dharau hizo
 
Nimesoma kuwa Wawekezaji wameongezeka sana nchini kutokana na sera nzuri za serikali; je wawekezaji hao hawapunguzi tatizo la ajira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…