Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Kila mtu ashinde mechi zake.Binadamu sio wapumbavu , hatuwezi kuwa na lengo moja ...Kusikiliza motivational quotes za watu waliokufa ni ujinga .
Dunia ni mzungu na kutengemeana ,kila mtu hawezi kuwa na biashara ni urongo wa karne kama unaamni hivyo basi ni mjinga ..Mimi nitaajiriwa miaka 60 ni mingi hata 50 nitakuwa nimeshakufa
kabisa mkuu,Wapo wakutosha Mkuu, ni vile huwajui au haupo kwenye harakati kubwa za fedha.
Ulisoma ile story ya sizitaki mbichi hizi?Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako
Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya
Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa papa yanakuja mawazo ya kuongeza elimu apo +3/4 years unarudi na documents unaongezwa mshahara na cheo kinapanda tayari apo una 30+ years
Unaongezewa majukumu na vyeo vya kukufanya ubweteke kusaka fursa nyingine
Mara paaap una 40+ years unaanza kufikiria mikopo unakopa apo ndio kwiiiiisha lala salama itamiliki IST,PASO NA KLUGER ya mkopo
Mara paaap unaanza kujaribu biashara mara paaap inakufa sababu huna uzoefu ila pesa ipo sababu uliaminishwa biashara ni mtaji
Mara paap unaanza kua chawa
Mara paaaap uchawa na michongo haramu
Mara paap uchawa unakushinda mara paap 55+ years
Mara paap unakua msoma magaazetiπ€£π€£π€£
Mara paaap una staafu
Mara paap unakufaπ€£π€£π€£π€£
Ukiajiriwa jitahidi baadhi ya Sheria uzivunje ili utoboe acha uoga wa kiboya kitambi hakikai na mjinga amkaaaa
Sema neno lolote madamNitarudi kusoma comments ππ
π€Ukweli mchungu ni kwamba kama huwezi pangilia mshahara uliopo fixed hutoweza pangilia faida/hasara kwenye biashara.
Ni kweli mkuu.Kujitengenezea milioni moja kwa mwezi sio kazi rahisi wandugu msidanganyane.
Kama mtu huna altenative namna ya kupata kipato bora tu ukaajiriwe ulipwe mshahara bwerere bila kuumiza kichwa na kutokwa jasho
Unless tafsiri yako ya utajiri ni tofauti na yangu. Mfano, mtu anayelipwa 5m each month, familia imekatiwa bima ya afya, anapewa mafuta, usafiri na dereva wake, ana posho kila anapokaa kikao, huyu si tajiri?sijawahi kuona tajiri muajiriwa
Uongo mkubwa sana. Tunadanganyana mno.If you group the richest people in the world you will find out that 75% are investors, 15% are entrepreneurs, 7% are inheritors, 3% are athletes, celebrities and politicians and 0% are employees.
"Alternative ya kupata kipato bora"Mkuu unasema ukiajiriwa huumizi kichwa wala kutoka jasho?
Ni ajira gani hiyo unaizungumzia?
Mtu uwe Mwalimu wa vipindi 48 kwa wiki, useme hutoki jasho mkuu?
Get your fact right.
Sio hivyo tu, ajira pia ni biashara. Unapiga hesabu gharama vs mshahara kinachobaki ni faida. Sasa kama ajira inakubakisha na M20 kwa mwaka na kuna mafao yanakusubiri, kwanini uchague kubaki na M5 ili uitwe mfanyabiashara? Si ukichaa huo?Ni kweli mkuu.
Maana hata biashara sio kila mtu ana nyota ya biashara, unaweza kuwa na mtaji na kila kitu lakini hupati wateja na wenzio wanapiga hela kwenye hiyo hiyo biashara. Ukipata ajira na mshahara mzuri ajiriwa tu.
Kabisa MkuuNi kweli mkuu.
Maana hata biashara sio kila mtu ana nyota ya biashara, unaweza kuwa na mtaji na kila kitu lakini hupati wateja na wenzio wanapiga hela kwenye hiyo hiyo biashara. Ukipata ajira na mshahara mzuri ajiriwa tu.
hivi kuandaa na kuazimia mihula yote kuna kazi gani hapo? Njoo kwenye kufundisha, nagonga pindi mbili tatu si lazima nigonge pindi zote, siku imeisha. Kesho tena nafundisha vipindi ambavyo sijavifundisha jana, halafu siandiki andalio, jasho litanitokaje hapo? Wiki nne zinatimia naenda benki kubonye vitufe vya ATM hela zinatoka natia mfukoni na kurudi nyumbani kuzipangia matumizi. Fahamu kuwa kazi nyepesi ndio zenye hela kubwa na kazi nzito zina hela kidogo. Kazi za kalamu ndio nyepesi na zenye hela kubwaMkuu unasema ukiajiriwa huumizi kichwa wala kutoka jasho?
Ni ajira gani hiyo unaizungumzia?
Mtu uwe Mwalimu wa vipindi 48 kwa wiki, useme hutoki jasho mkuu?
Get your fact right.
labda tukubaliane utajiri unaanzia na shilingi ngapi. Inawezekana mshahara wa milioni 5 ni utajiriUnless tafsiri yako ya utajiri ni tofauti na yangu. Mfano, mtu anayelipwa 5m each month, familia imekatiwa bima ya afya, anapewa mafuta, usafiri na dereva wake, ana posho kila anapokaa kikao, huyu si tajiri?
Sasa huyo kashatoka kwenye kundi la employees kaingia kwenye kundi la investors and businessmen.Uongo mkubwa sana. Tunadanganyana mno.
Nafahamiana na mtu kaajiriwa sekta binafsi. Ana biashara kaajiri watu, ana fixed deposit na Utt za mamilioni anakula riba, ana maplot mpaka mengine anasahau. Na nina hakika akiulizwa aache kipi kati ya biashara zake au ajira yake ajira atailinda.
Twende na utajiri wa kitanganyika tanganyika.labda tukubaliane utajiri unaanzia na shilingi ngapi. Inawezekana mshahara wa milioni 5 ni utajiri
Basi hapa tuseme tu ualimu na kazi zinazofanana na hizi huwezi kuwa tajiri. Ila tukiweka general tu ajira hailipi tayari inakuwa si kweli sababu kuna watu wanalipwa aisee, kila mwezi mtu hakosi fungu la maana.Sasa huyo kashatoka kwenye kundi la employees kaingia kwenye kundi la investors and businessmen.
πππ neno sina acha niwe msomaji tuSema neno lolote madam