Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Una sababu ya msingi ya kwann hutaki kutumia hicho cheti.?
NATAKA NISOME BACHELOR YA KITU KINGINE TOFAUTI, SO NATAKA WANITOE KWENYE MFUMO NISOMEKE MTU WA DIPLOMA... KWANI MFUMO HAURUHUSU MTU MWENYE BACHELOR TOFAUTI KUOMBA KAZI...YANI NINA BACHELOR YA IT NA BACHELOR YA ECONOMICS NIKI UPLOAD VYOTE JE NITAWEZA OMBA KAZI IPI? MFUMO HAUPO ELEKEZI...BUT GENERAL KWA SASA SITAKI NISOMEKE DEGREE NI MAAMUZI TU....KAMA MWENGINE ANASEMA MM SITAKI HIKI.
 
Hapo shida nn jombi, una edit tu kwwnye akaunti kwa kufuta then unasave
Impossible ndio
Kwa uzoefu wangu najua haiwezekani kwa sababu yoyote ile, ila siwezi kukukatisha tamaa ni bora ujaribu kufanya jambo ndipo ushindwe kulitimiza.
Nakuombea Mungu ufanikiwe kutimiza unachotaka.
AMIINA KAKA, THANKS FOR YOUR POSITIVE RESPONSE 🙏UBARIKIWE
 
Binafsi tuu naona hy sio sababu ya msingi
 
Ukiweka degree mbili utaomba ile ya mwisho kuweka
 
Unataka kubadili ili iweje? kwamfano saivi unatageti ajira za dip ukikosa zikatoka za Digrii je?

Nyie mnasumbuaga mkiajiriwa kwa Dip baade mnatoa vyeti vya shahada na kulalamika kubadilishiwa muundo wakati ikama na mahitaji ya mwajiri ni stashahada.
 
NDIO MAANA NIKASEMA NATAKA NIAPE MAHAKAMANI ILI NISITUMIE CHETI CHANGU, MBONA WATU WANAAPA KUBADIRI JINA WASITUMIE LA MWANZO
 
NDIO MAANA NIKASEMA NATAKA NIAPE MAHAKAMANI ILI NISITUMIE CHETI CHANGU, MBONA WATU WANAAPA KUBADIRI JINA WASITUMIE LA MWANZO
Mm sidhani kama hii ni sababu ya msingi itakayokufanya ufutiwe hiyo degree
 
HEBU JARIBU KUWA, MUELEWA MIMI SITAKI KABISA, NA KAMA KUNA NJIA YA KUFUNGA NI SI UPDATE CHOCHOTE NIPO KWA RADHI YANGU, NA AKILI TIMAMU
...WAFUNGE NISI ADD CHOCHOTE BAADA YA KUTOA... PIA NIJICOMMIT KUTOTUMIA CHETI CHA DEGREE UNLESS NIKASOME TENA, THREE YEARS
 
Nadhani ww ndo huelewi nachokiandika
 
THN NABISHANA NA WEWE, WAKATI HATA SIKUTAKIWA FANYA HIVYO...POOR ME🤔 NGOJA SIKUKUU ZIISHE NIENDE ...WANIKATALIE WENYEWE
Usipoteze resources zako,hutopata msaada wa unachokitaka.wasikilize wenzio wanaokupa experiences zao hapa kuhusu hao utumishi.
 
Ukiweka degree mbili utaomba ile ya mwisho kuweka
Me najua unaomba yoyote kati ya hizo degree zako mbili.namjua jamaa yangu mmoja, ana BA economics na Bcom in accounting. Zikitoka kazi zozote za either economics, accounting or commerce anaomba na anaitwa interview vizuri tu.
 
NDIO MAANA NIKASEMA NATAKA NIAPE MAHAKAMANI ILI NISITUMIE CHETI CHANGU, MBONA WATU WANAAPA KUBADIRI JINA WASITUMIE LA MWANZO

Duuh what happened mbona unataka kuikana kwa nguvu zote elimu yako uliosoma miaka mitatu?
Kwa mtazamo wangu ukitumia cheti cha degree ni lahisi zaidi kupata kazi kuliko diploma, kwani naona siku hizi ajira nyingi zinazotangazwa wanataka degree zaidi.!

Anyway Mungu akupatie hitaji la moyo wako
 
Me najua unaomba yoyote kati ya hizo degree zako mbili.namjua jamaa yangu mmoja, ana BA economics na Bcom in accounting. Zikitoka kazi zozote za either economics, accounting or commerce anaomba na anaitwa interview vizuri tu.
Asante kwa kunielewesha.
 
Recently ajira nyingi zinataka diploma mkuu.fuatilia ajira portal uone.kuanzia hizi za TRA,TPA na nyingine nyingi diploma ndio habari ya mjini.
 
ni mfumo gani utakumonita ww kuhakikisha hukitumii hicho cheti kuombea kazi baada ya kuapa mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…