Umeandika sahihi na ilishawahi kunitokea,
mm nina diploma sasa mwaka jana tbc wakatangaza kazi ya cameraman wanataka mwenye form four au six ila mm nilishindwa kuomba mana nilikuwa nimeweka diploma ya hiyo hiyo ya u-cameraman, nakumbuka niliwasumbua sana ajira portal kwa kila njia ili wafute hy diploma lkn wakanikazia,
mwaka huo huo mwezi wa 10 kuna taasisi ikatangaza kazi wanataka diploma ile ambayo nimesomea mimi hvy nikatuma maombi na kufanya interview lkn sikufanikiwa kupata kazi,
kwahy kama ningefanikiwa kufuta ile diploma mara ya kwanza na nngekosa kazi ya hapo TBC ungekuta tena nairudisha hiyo diploma ili niombe hiyo Kazi kwenye hy taasisi.
Mwisho wa siku ni kutulia tuu na licheti lako uliloliweka kwenye system 😂😂