Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Kazi ipoWatalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
Piga picha hivo vigezo vya hio kazi utume isiwe wenyewe wanataka advance diploma na wakati wewe una ordinary diplomaDiploma mkuu na mimi nina-diploma (ordinary diploma).
Tunaomba namba ya itHata mimi mke wangu alikuwa anakutana na changamoto ya namna iyo.nilimkutanisha na jamaa yangu IT wa pale utumishi na alimsaidia,sasa hivi akiomba inakuwa freh tu ila bado mungu hajajalia kupata kazi.muda ukifika naamini atapata tu.
Kwakifupi uende tu dodoma pale 77 panda gari zinazoenda social waimbe wakushushe utumishi.watatua shida yako kwa haraka sanaTunaomba namba ya it
maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii mbona vitu viwili tofauti. ndio maana wameweka qualifications.. subir ajira za maendeleo ya jamii utaomba. ambapo hata mtu wa ustawi wa jamii hawezi kuomba.Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
Pole sana ndg yangu mm mwenyewe pia imenigomea kuomba nafasi za financial management officer daraja la ii hali ya kuwa nimesoma Bcomm- Finance. Wakati huohuo tangazo linawataka watu waliosoma LLB waombe hila mm nilyesoma finance nimekataliwa nisiombeWatalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
Hata ukizungumza na watu wa IT watakuambia upige simu katika kitengo cha malalamikoTunaomba namba ya it
Ajira Portal haizingatii suala zima la course zinazoendana.. nashindwa kuwaelewa mimi!Pole sana ndg yangu mm mwenyewe pia imenigomea kuomba nafasi za financial management officer daraja la ii hali ya kuwa nimesoma Bcomm- Finance. Wakati huohuo tangazo linawataka watu waliosoma LLB waombe hila mm nilyesoma finance nimekataliwa nisiombe
Hiyo ajira portal app imethibitishwa kisheria kaka?Mkuu download app ya ajira portal playstore hope utaweza ku-apply kupitia app.
Yani nimeshangaa sana kuona watu wa sheria nao wamekuwa qualified kuomba nafasi za financial management officerAjira Portal haizingatii suala zima la course zinazoendana.. nashindwa kuwaelewa mimi!
Hapa tunahitaji ajitokeze mbunge mmoja akapige kelele bungeni kuhusu hili jambo linaumiza kwa kweli.Yani nimeshangaa sana kuona watu wa sheria nao wamekuwa qualified kuomba nafasi za financial management officer
Kizuri kula na mwenzio ingawa sio vyote vya kushare. Hiki tule wote.Hata mimi mke wangu alikuwa anakutana na changamoto ya namna iyo.nilimkutanisha na jamaa yangu IT wa pale utumishi na alimsaidia,sasa hivi akiomba inakuwa freh tu ila bado mungu hajajalia kupata kazi.muda ukifika naamini atapata tu.
Piga simu aiseeAjira Portal haizingatii suala zima la course zinazoendana.. nashindwa kuwaelewa mimi!
Wapigien simu wanaremebishaHata ukizungumza na watu wa IT watakuambia upige simu katika kitengo cha malalamiko
Ni mkeo au ni wewe mkuu?Hata mimi mke wangu alikuwa anakutana na changamoto ya namna iyo.nilimkutanisha na jamaa yangu IT wa pale utumishi na alimsaidia,sasa hivi akiomba inakuwa freh tu ila bado mungu hajajalia kupata kazi.muda ukifika naamini atapata tu.