Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
Kazi ipo
 
System inatatizo natumaini watarekebisha... Au ni mbinu ya kupunguza watu...Yaani Nina qualifications wanazotaka Ila inagoma.
Utumishi ni Jipu....Waseme tatizo nini
 
Nenda kwenye e-mail yako verify hyo akaunti ya ajira portal then ndio uje u-login
 
Hata mimi mke wangu alikuwa anakutana na changamoto ya namna iyo.nilimkutanisha na jamaa yangu IT wa pale utumishi na alimsaidia,sasa hivi akiomba inakuwa freh tu ila bado mungu hajajalia kupata kazi.muda ukifika naamini atapata tu.
 
Tunaomba namba ya it
 
Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii mbona vitu viwili tofauti. ndio maana wameweka qualifications.. subir ajira za maendeleo ya jamii utaomba. ambapo hata mtu wa ustawi wa jamii hawezi kuomba.
 
Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
Pole sana ndg yangu mm mwenyewe pia imenigomea kuomba nafasi za financial management officer daraja la ii hali ya kuwa nimesoma Bcomm- Finance. Wakati huohuo tangazo linawataka watu waliosoma LLB waombe hila mm nilyesoma finance nimekataliwa nisiombe
 
Ajira Portal haizingatii suala zima la course zinazoendana.. nashindwa kuwaelewa mimi!
 
Yani nimeshangaa sana kuona watu wa sheria nao wamekuwa qualified kuomba nafasi za financial management officer
Hapa tunahitaji ajitokeze mbunge mmoja akapige kelele bungeni kuhusu hili jambo linaumiza kwa kweli.
 
Hata mimi mke wangu alikuwa anakutana na changamoto ya namna iyo.nilimkutanisha na jamaa yangu IT wa pale utumishi na alimsaidia,sasa hivi akiomba inakuwa freh tu ila bado mungu hajajalia kupata kazi.muda ukifika naamini atapata tu.
Kizuri kula na mwenzio ingawa sio vyote vya kushare. Hiki tule wote.

Tushirikishe koneksheni na huyo IT ili na sisi tuweze kuifikia hatua ya kutuma maombi, kupata ni majaliwa
 
Hata mimi mke wangu alikuwa anakutana na changamoto ya namna iyo.nilimkutanisha na jamaa yangu IT wa pale utumishi na alimsaidia,sasa hivi akiomba inakuwa freh tu ila bado mungu hajajalia kupata kazi.muda ukifika naamini atapata tu.
Ni mkeo au ni wewe mkuu?
 
Back
Top Bottom