abdallahross
Member
- Feb 16, 2017
- 37
- 23
Hadi browser imegomaAcha kulalama, tumia browser! Vijana mna changamoto sana.. jambo dogo kelele kibao
Jaribu kusign up new account ujaribu uone inavyosumbua kabla hujatetea ujinga hapaPunguza hasira, kuhusu suala la kusign in hilo unawaonea labda kwenye suala la equivalent qualifications kutokuzingatiwa.
Hueleweki unataka Nini, kwenye Uzi umesema kusign in hapa unasema kusign up. Sasa hapo acha nipumzike kwanza.Jaribu kusign up new account ujaribu uone inavyosumbua kabla hujatetea ujinga hapa
Hivi kwa nini hakuna option ya kufuta academic qualifications au kuifuta kabisa account!!??Hueleweki unataka Nini, kwenye Uzi umesema kusign in hapa unasema kusign up. Sasa hapo acha nipumzike kwanza.
Kabisa mkuu suala La kusign in wanaweza sema ni traffic jam kwenye host servers zao, ila hili la equivalent qualifications walevurunda sanaPunguza hasira, kuhusu suala la kusign in hilo unawaonea labda kwenye suala la equivalent qualifications kutokuzingatiwa.