Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Habari Wakuu,

Naomba kuuliza kidgo, mimi nime-apply kazi leo Ajira Portal na kila kitu nime-upload kipo sahihi, lakini inaniandikia 👇🏾

Job application failed​

Sorry! You can not apply for the job post, Check Professional Requirements for the Job Post.

Please read and understand carefuly Job post qualification requirements before applying

Thank You
**

Sasa naomba kujua hapa whats the way forward jamani?
 
Kuna ajira ni lazima uombe kupitia ajira portal cha ajabu ukisign in kwa app yao inagoma hapo hapo ukisign up inaandika invalid email address na kila mtu hii inamkumba.

Kiujumla sahivi huwezi kuaccess ajira portal na hapo deadline ya maombi unakuta ni after few days.

Huu ni mkakati wa maksudi tu ili watu wasiombe wawekane wenyewe kwa wenyewe hawa ma-IT wa serikali na wanaosimamia hizi app na tovuti walipaswa wawe wamefukuzwa kazi.
 
Kuna ajira ni lazima uombe kupitia ajira portal cha ajabu ukisign in kwa app yao inagoma hapo hapo ukisign up inaandika invalid email address na kila mtu hii inamkumba

Kiujumla sahivi huwezi kuaccess ajira portal na hapo deadline ya maombi unakuta ni after few days

Huu ni mkakati wa maksudi tu ili watu wasiombe wawekane wenyewe kwa wenyewe hawa ma-IT wa serikali na wanaosimamia hizi app na tovuti walipaswa wawe wamefukuzwa kazi
 
Punguza hasira, kuhusu suala la kusign in hilo unawaonea labda kwenye suala la equivalent qualifications kutokuzingatiwa.
 
Acha kulalama, tumia browser! Vijana mna changamoto sana.. jambo dogo kelele kibao
 
Acha kukata tamaa jaribu kutumia browser au wapigie simu
 
Angalia NAFASI nyingine unayokidhi vigezo na masheriti hiyo imekukataa hujakidhi vigezo.
 
Ingetakiwa pale wabaki na kumbukumbu za Kila mtu Ili ajira zikipatikana wachague wenye vigezo kuliko Kila siku kuomba
 
Punguza hasira, kuhusu suala la kusign in hilo unawaonea labda kwenye suala la equivalent qualifications kutokuzingatiwa.
Kabisa mkuu suala La kusign in wanaweza sema ni traffic jam kwenye host servers zao, ila hili la equivalent qualifications walevurunda sana
 
IMG_1323.jpg

unataka kusema nini???
 
Back
Top Bottom