Ni bora nisilalamike ili kila mtu apate kaziSister uki -over qualify haufiti kwa kazi husika kila kada ina qualifications zake na wage rate yake hivi ukiajiriwa na degree yako ukalipwa mshahara wa Diploma (maana ndio mahitaji ya mwajiri) hutalalamika upom underpaid?
Niamini mimi unayasema haya kwasababu bado hujaajiriwa ukiwa ndani hata ukinyimwa overtime ambayo hukuifanyia kazi wenzako wakapewa utalalamika tuNi bora nisilalamike ili kila mtu apate kazi
Unahic wanavyobana mfumo ni sahihi?Niamini mimi unayasema haya kwasababu bado hujaajiriwa ukiwa ndani hata ukinyimwa overtime ambayo hukuifanyia kazi wenzako wakapewa utalalamika tu
Sister sio kwamba wamebana ila kinachotakiwa omba yale unaqualify nayoUnahic wanavyobana mfumo ni sahihi?
Ww umeajiriwa?Sister sio kwamba wamebana ila kinachotakiwa omba yale unaqualify nayo
12 yrs nowWw umeajiriwa?
Hongera sana12 yrs now
Kuna kaz hazipo na zimeshatangazwa lkn kwenye system hazipo mfano DIT HAZIPOIngia upande wa hr and admistration zimejaa
Zipo, ukitaka kuapply ingia moja kwa moja kwenye profile yako ndio utapata access ya kuapplyKuna kaz hazipo na zimeshatangazwa lkn kwenye system hazipo mfano DIT HAZIPO
HazipoZipo, ukitaka kuapply ingia moja kwa moja kwenye profile yako ndio utapata access ya kuapply
Ukiziona screenshot utume hapa
Dah watoe majina Tu niwe na amaniTuliza wenge, hyo ni mfumo tu unazingua..