Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Sister uki -over qualify haufiti kwa kazi husika kila kada ina qualifications zake na wage rate yake hivi ukiajiriwa na degree yako ukalipwa mshahara wa Diploma (maana ndio mahitaji ya mwajiri) hutalalamika upom underpaid?
Ni bora nisilalamike ili kila mtu apate kazi
 
Ni bora nisilalamike ili kila mtu apate kazi
Niamini mimi unayasema haya kwasababu bado hujaajiriwa ukiwa ndani hata ukinyimwa overtime ambayo hukuifanyia kazi wenzako wakapewa utalalamika tu
 
Kuna baadhi ya kazi kwenye system hazionekan mfano za library je shida itakuwa ipo wapi.
 
Back
Top Bottom