Circuit Breaker
Senior Member
- Mar 31, 2021
- 158
- 347
Nilitoka hapo tarehee 22 mwezi wa sita juzi tuu hapo, nilikua nimevaa safii tuu, sina sweta wala nini. Nilipigwa baridi ambayo sijawai kupigwa tangu nizaliwe. Nilitetemeka paka nikaanza kuumwa kifua, kichwa na kila kiungo cha mwili, nikajua hapa nimesha fail, maana meno yalikua yanagongana nikawa siwezi hata kuongea,Uwiii kawaidaa Tu nadhan hawaangalii ayo mambo,na lile barid la pale tumewah tk saa 12 mpk unaingia kufanya tushagalagala pale nje aisee ukija kuingia ndan pamoto uko hoi.
Uliomba utafit ukapata ukufunzi? Kumbe wanaweza kubadilisha kukuplace sehemu nyingine inayoendana na career yako?Usijali, mm nilifanya mwezi wa 6, nikaandikiwa ivo ivo, at the end nimekuja kupata post, mwezi wa 12,
Apo maana yake waliotarajiwa kwa idad husika ya post wamepatkana, wew umebak kwene data base, ikitokea post yoyote inayohusiana na career yako ni moja kwa moja utachaguliwa.
NB: Niliomba Utafiti badae nikapata Ukufunzi
Kwa nafasi za watu wangapi mnagombea ?Written kma 350,oral almost 60
Hyo sample ya watu 60 nadhan position zilikuwa zaidi ya 15 japo utumishi wanasema ratio Yao ni 1:3..Kwa nafasi za watu wangapi mnagombea ?
Hizi interview za juzi Bado majibu we subri mpaka tarehe 22 mwezi wa sabaWritten kma 350,oral almost 60
Hakuna hicho kitu mkuu mie nimefanya interview inataka 5 na oral tumeenda 30 wengine inataka 4 ila oral wameenda 5 so hapo ni ufaulu watakao amuaa kuchukua siku hiyo ndo watachukua hawana formulaHyo sample ya watu 60 nadhan position zilikuwa zaidi ya 15 japo utumishi wanasema ratio Yao ni 1:3..
Yaan kama hao 60 basi position ni 20.
i.e 20:60
Hakuna hicho kitu mkuu mie nimefanya interview inataka 5 na oral tumeenda 30 wengine inataka 4 ila oral wameenda 5 so hapo ni ufaulu watakao amuaa kuchukua siku hiyo ndo watachukua hawana formula
Ki vipi unaeweza kufafanua mkuuVigezo kwa nafasi hiyo anakuwa hajatimiza.
Nimepata hiyo changamoto pia, sijui wanakwama wapiUzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Nilijaribu kuwapigia Simu, ndo hata hazipokelewi na zingine haziiti kabisa.. Sasa kwa huu usumbufu ni nani ataomba kama kozi husika kabisa inayotakiwa inakataliwa siwaelewi kabisaNimepata hiyo changamoto pia, sijui wanakwama wapi
Basi fanya ujanjaujanja ikifanikiwa setting nitonyeNimepata hiyo changamoto pia, sijui wanakwama wapi
Hadi nimekata tamaa , naona kila kitu nimejaza sawa aargh ngoja niendelee kupambana na huku private sector tuBasi fanya ujanjaujanja ikifanikiwa setting nitonye
Kuna watu humu kipindi fualni walikuwa wanalalamika hii issue Ila baada ya muda walifanikiwa, Sasa sijui walitumia mbinu gani.. AIa madogo wenyewe hawaonekani tena humu walikuja kipindi Kila Kuna Ajira kibao zilitangazwa.Hadi nimekata tamaa , naona kila kitu nimejaza sawa aargh ngoja niendelee kupambana na huku private sector tu
Ooh wangekuja watuambie walifanikiwaje maana inakatisha tamaa sanaKuna watu humu kipindi fualni walikuwa wanalalamika hii issue Ila baada ya muda walifanikiwa, Sasa sijui walitumia mbinu gani..
Sema madogo wenyewe hawaoneka I tena humu walikuja kipindi Kila Kuna Ajira kibao zilitangazwa
Hawapokei simu kabisaNilijaribu kuwapigia Simu, ndo hata hazipokelewi na zingine haziiti kabisa.. Sasa kwa huu usumbufu ni nani ataomba kama kozi husika kabisa inayotakiwa inakataliwa siwaelewi kabisa
Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Hebu nitoeni ushamba kidogo,kwani hizi ajira za Tutorial assistant au Assistant lectures si unaweza ukaapply hata kwenye official website za vyuo husika mkaachana na huo mfumo unaoanzishiwa nyuzi za malalamiko zaidi ya mia kwa siku!??..Nimepata hiyo changamoto pia, sijui wanakwama wapi