Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Halafu acha kuturudisha nyuma bhana. Kazi zote zinaombwa kupitia portal ya Utumishi.. Ingelikuwa hvyo unadhan tungelihangaika hv..?Hebu nitoeni ushamba kidogo,kwani hizi ajira za Tutorial assistant au Assistant lectures si unaweza ukaapply hata kwenye official website za vyuo husika mkaachana na huo mfumo unaoanzishiwa nyuzi za malalamiko zaidi ya mia kwa siku!??..
Halafu acha kuturudisha nyuma bhana. Kazi zote zinaombwa kupitia portal ya Utumishi.. Ingelikuwa hvyo unadhan tungelihangaika hv..?Hebu nitoeni ushamba kidogo,kwani hizi ajira za Tutorial assistant au Assistant lectures si unaweza ukaapply hata kwenye official website za vyuo husika mkaachana na huo mfumo unaoanzishiwa nyuzi za malalamiko zaidi ya mia kwa siku!??..
Basi sawa endeleeni na harakati..Halafu usiseme kazi zote sema kazi za Serikali makampuni yanayojielewa yanakuwa na portal zao maalumu kwa ajili ya job applications so nikajua hata vyuo binafsi itakuwa hivyo kwa hizo nafasi za tutorialHalafu acha kuturudisha nyuma bhana. Kazi zote zinaombwa kupitia portal ya Utumishi.. Ingelikuwa hvyo unadhan tungelihangaika hv..?
Hapa tunazungumzia kazi za Serikali wewe.. Sekta binafsi wana mifumo Yao kwanza huwezi kukuta hzi longolongo za kijingaBasi sawa endeleeni na harakati..Halafu usiseme kazi zote sema kazi za Serikali makampuni yanayojielewa yanakuwa na portal zao maalumu kwa ajili ya job applications so nikajua hata vyuo binafsi itakuwa hivyo kwa hizo nafasi za tutorial
Ukitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo itakupeleka kwenye taarifa zako za chuo utaenda kuedit sehemu ya PROGRAMME NAME ( course uliyosoma au inayoendana nahiyo). Baada ya hapo utabonyeza sehemu ya save. Baada ya hapo utarudi kwenye kazi unayotaka kuapply na utaapply bila shida.Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
NB: usisahau kusave cheti kilichohakikiwa na wakiliUkitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo itakupeleka kwenye taarifa zako za chuo utaenda kuedit sehemu ya PROGRAMME NAME ( course uliyosoma au inayoendana nahiyo). Baada ya hapo utabonyeza sehemu ya save. Baada ya hapo utarudi kwenye kazi unayotaka kuapply na utaapply bila shida.
Uliomba zipi mkuu ikakataa?Nimepata hiyo changamoto pia, sijui wanakwama wapi
Asante mkuu.Ukitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo itakupeleka kwenye taarifa zako za chuo utaenda kuedit sehemu ya PROGRAMME NAME ( course uliyosoma au inayoendana nahiyo). Baada ya hapo utabonyeza sehemu ya save. Baada ya hapo utarudi kwenye kazi unayotaka kuapply na utaapply bila shida.
Ukiwapigia simu hawapokei halafuUzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
Kumbe wahanga ni wengi aisee..Nimepata hiyo changamoto pia, sijui wanakwama wapi
Kila la kheri mkuuAsante mkuu hebu nimalize michakato yangu yangu Leo then jioni nitapambana na Hii kitu kama ulivyonena
Loan officers from HESLBUliomba zipi mkuu ikakataa?
Kuna mtu nimemuona jana Kkoo , akili yangu ilikuwa inaniambia yule mtu ni wewe kabisaaaa, ila kwa kuwa mjini pale kila mtu na pilika zake, nikasema ngoja nikuache.Loan officers from HESLB
Aisee inawezekana instincts ziko vizuri, but why umehisi ni mimi? And not someone else humu?Kuna mtu nimemuona jana Kkoo , akili yangu ilikuwa inaniambia yule mtu ni wewe kabisaaaa, ila kwa kuwa mjini pale kila mtu na pilika zake, nikasema ngoja nikuache.
Pole mkuu,me mbona ilikubali tu fresh?Kuna mtu nimemuona jana Kkoo , akili yangu ilikuwa inaniambia yule mtu ni wewe kabisaaaa, ila kwa kuwa mjini pale kila mtu na pilika zake, nikasema ngoja nikuache.
Oya mwamba,mkeka unatoka lini ? Maana Ni mwezi umepita Sasa toka tutume maombiUzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli