Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Aisee kumbe niende hata shambaniKuwa na subira tu mkuu, Kuna Ajira za TRA wako na miezi mi4 Toka deadline Ila Hadi Leo hawajaitwa hvyo unaweza kuona namna gani unaweza kusugua kitaa kwa mda mrefu sana.
Njoo PM nikushauri jinsi ya kufanya. Usikate tamaaHadi nimekata tamaa , naona kila kitu nimejaza sawa aargh ngoja niendelee kupambana na huku private sector tu
Asante mkuu. BarikiwaKama ushaweka verified/certified Haina shida..
Mkuu shombe Mungu akubariki upate job na ufanikishe. Umekuwa msaada sn.Kuna kitu napenda nikuulize tafadhariKama ushaweka verified/certified Haina shida..
Fungua tu Boss ujiridhishe mwenyeweIvi huruhusiw kufungua ac ya ajira portal mpya Kama uliyonayo inazingua?
Kama haikubali basi asubiri tu kazi ya taaluma yake.. hiyo inaonesha sio Yale ajaribu kuangalia vizuri kazi inahitaji taaluma ganiKwa mwenye uelewa
1. Kuna kijana amejaza ajira portal hadi mwisho (100%) ila haimpi ile option ya kutiki (kufanya declaration)
Tatizo nini?
2. Anaomba kazi ya taaluma yake inayohitaji mtu wa Diploma na anayo diploma inayotambulika, ila system inasema hawawezi kuomba/hana sifa?
Tatizo ni nini?
Kazi ni ya taaluma yake 100% aliniomba nimsaidie kucheki alipokosea, ukweli bado sijaonaKama haikubali basi asubiri tu kazi ya taaluma yake.. hiyo inaonesha sio Yale ajaribu kuangalia vizuri kazi inahitaji taaluma gani
Hapo declaration unaweka tick tu then unasaveKazi ni ya taaluma yake 100% aliniomba nimsaidie kucheki alipokosea, ukweli bado sijaona
ILA bado najiuliza, kwanini ipo 100% lakini haitoi option ya kukukubali pale mwisho (declaration?)
Nina wasi wasi something is not right pengine kwenye system ya portal yenyewe na kama hawana customer care contacts....not fair
haikubali aweke tick, ipo fait kuonesha kuwa kuna kitu badoHapo declaration unaweka tick tu then unasave