Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Apo tatizo ni dogo tu , fanya uwe unabadilisha iyo course aliyesoma jina lifanane na course anayoomba ili viendane ndo itakubali
 
Bachelor of education in policy planning and management..qualifacation nnazo ila ajira ambazo nina sifa na wameziweka zote zinanigomea hadi nimeacha sasa..help desk doesnt help at all kuanzia simu mpaka email.. kwa kifupi sina kasoro but system failed evry time nikiaply sababu niecheki qualification..any solution kama ipo wadau
 
Ndugu kwa upande wangu ninasifa zote na haijawahi kunikubalia..hiyo kauli ya hauna sifa ni fact tu ila haina proof.. mnaongea fact ila nanyie mmekua kama system mpo too optimistic..you are dealing na wasomi humu na qualification needed wanazisoma but still ina fail..so either mje na solution kwa nini system ina fail hata kama sifa unazo au mkajihakikishe na jibu lenu kuwa huna sifa mmejiridhisha nalo..i hate this coz kila mtu analisema tatizo hilo na linajibiwa huna sifa
 
Ivi huruhusiw kufungua ac ya ajira portal mpya Kama uliyonayo inazingua?
 
mleta mada yupo sahihi nimekutana na hayo malalamiko zaidi ya mara moja unakuta anahitajika civil engineer,na mtu ana qualification zote na ana degree ya civil kutoka udsm na ameregister ila ajira portal inakataa
 
Kwa mwenye uelewa
1. Kuna kijana amejaza ajira portal hadi mwisho (100%) ila haimpi ile option ya kutiki (kufanya declaration)
Tatizo nini?
2. Anaomba kazi ya taaluma yake inayohitaji mtu wa Diploma na anayo diploma inayotambulika, ila system inasema hawawezi kuomba/hana sifa?
Tatizo ni nini?
 
Mm najaribu leo kuingia inaniandiki these site can't be reached
 
Kwa mwenye uelewa
1. Kuna kijana amejaza ajira portal hadi mwisho (100%) ila haimpi ile option ya kutiki (kufanya declaration)
Tatizo nini?
2. Anaomba kazi ya taaluma yake inayohitaji mtu wa Diploma na anayo diploma inayotambulika, ila system inasema hawawezi kuomba/hana sifa?
Tatizo ni nini?
Kama haikubali basi asubiri tu kazi ya taaluma yake.. hiyo inaonesha sio Yale ajaribu kuangalia vizuri kazi inahitaji taaluma gani
 
Kama haikubali basi asubiri tu kazi ya taaluma yake.. hiyo inaonesha sio Yale ajaribu kuangalia vizuri kazi inahitaji taaluma gani
Kazi ni ya taaluma yake 100% aliniomba nimsaidie kucheki alipokosea, ukweli bado sijaona
ILA bado najiuliza, kwanini ipo 100% lakini haitoi option ya kukukubali pale mwisho (declaration?)
Nina wasi wasi something is not right pengine kwenye system ya portal yenyewe na kama hawana customer care contacts....not fair
 
Hapo declaration unaweka tick tu then unasave
 
Wazee habari za leo,

Nna shida naomba msaada wenu, academic qualification category nilikosea kitu kidogo tu, lakini imekataa ku edit, kila nikiediti inakuja kama new qualifications.

Makao makuu hawapokei simu wala kujibu meseji.

Nimejaribu kufungua account mpya, nayo ndio majanga mara 100, mara nikute vyeti vya watu wa Udom na Udsm vimekuw uploaded kwenye account mpya, personal details haifunguki, na nna shida na ku apply kazi.

Naombeni msaada wenu waungwana.
 
Pole sana mkuu

Pitia pitia nyuzi humu, changamoto mbalimbali zishaelezwa humu
 
Sijaelewa huwa wa namaanisha nini kuweka namba zao halafu hawapokei simu wala kujibu arafa..
 
Back
Top Bottom