Yes walishawahi kuifanyia kazi early last year, nilikuwa nashida ya kufuta moja ya Qualification waliifanyia kazi baada ya kutumia email, sema uwe mvumilivu tuHv mkuu, ushawahi kutuma Email na ikajibiwa pale Utumishi..?
Kwahyo uliwatumia Username na password ili waingie kwenye account yako..?Yes walishawahi kuifanyia kazi early last year, nilikuwa nashida ya kufuta moja ya Qualification waliifanyia kazi baada ya kutumia email, sema uwe mvumilivu tu
Sidhani kama wanahitaji hayo yote, wao ndio system administrators wanaweza kufanya lolote bila kuwa na passwords za account yako.kikubwa ni majina yako matatu tu.Kwahyo uliwatumia Username na password ili waingie kwenye account yako..?
ahaa na bipi ile uliupload uncertified certificate ila ukafuta ukaeka vilivyo certifiedSidhani kama wanahitaji hayo yote, wao ndio system administrators wanaweza kufanya lolote bila kuwa na passwords za account yako.kikubwa ni majina yako matatu tu.
Kuna jamaa yangu alireseat form 4 na anaomba ajira Utumishi kama kawaida sijajua anafanyajeKama uli reseat form four inakuaje ndugu zangu msaada
Mm nili update , siku hiyo ya Kwanza ziligoma kubadilika , nikakata Tamaaa kabisa na Ajira portal , ila baada ya Kama week Nika Kuta zimebadilika ze nyewe,
Mm nimesoma computer science ,Ila kinacho fanyika Ajira portal kinanishanga Sana Yan [emoji1787][emoji3515]
Delete na edit zipo kwa kazi mbili tofauti kabisa, hapo huwezi kufuta chochote bali ataweza kutoa chet na kuweka kingine tuu ndo hy edit ila zile information zingine hawezi kubadili.
Acha uoga scroll hiyo screen ya simu yako kwenda kulia utaona delete, screen ya simu ni ndogo ku display Kila kitu
Onyesha kupitia simu yako nikupe pesa.Acha uoga scroll hiyo screen ya simu yako kwenda kulia utaona delete, screen ya simu ni ndogo ku display Kila kitu
Ku-edit unaweka vyeti tuu kama una uhakika umeweka hizo certified bc tulia.Kweli mkuu ni edit tu lakini kila niki edit hola mm nme add tu hizo certified na original zimebaki
Hii kesi ilishawahi kunikuta na nikaachana nao Ajira PortalKu-edit unaweka vyeti tuu kama una uhakika umeweka hizo certified bc tulia.
Ku-edit unaweka vyeti tuu kama una uhakika umeweka hizo certified bc tulia.
Ajira portal wanazingua knoma yn, mwenyewe nshateseka sana na hawa mbuziHii kesi ilishawahi kunikuta na nikaachana nao Ajira Portal
Endelea kuwa mpoleSure bro na tayari moja ya o level ishajifuta yenywe naskilizia cha A level na Uni
Chukua vyeti OG katoe copies, hizo copies ndizo zinapigwa mhuri na mwanasheria na ndizo utakazoweka kwenye systemCertified certificate ni kwamba zinapita kwa manasheria au?? Ni vikishatoka chuo tu vinakuwa certified?