Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Yes walishawahi kuifanyia kazi early last year, nilikuwa nashida ya kufuta moja ya Qualification waliifanyia kazi baada ya kutumia email, sema uwe mvumilivu tu
Kwahyo uliwatumia Username na password ili waingie kwenye account yako..?
 
Noo unawatumia screenshot ya kitu unachotaka kiondoke kwenye page yako na Majina yako matatu basi
 
Sidhani kama wanahitaji hayo yote, wao ndio system administrators wanaweza kufanya lolote bila kuwa na passwords za account yako.kikubwa ni majina yako matatu tu.
ahaa na bipi ile uliupload uncertified certificate ila ukafuta ukaeka vilivyo certified

issue ukiingia kwa desktop inaonekana havijafutika hii nayo imekaaje
 
Mm nili update , siku hiyo ya Kwanza ziligoma kubadilika , nikakata Tamaaa kabisa na Ajira portal , ila baada ya Kama week Nika Kuta zimebadilika ze nyewe,

Mm nimesoma computer science ,Ila kinacho fanyika Ajira portal kinanishanga Sana Yan [emoji1787][emoji3515]

[emoji23][emoji23]wahuni wale
 
Delete na edit zipo kwa kazi mbili tofauti kabisa, hapo huwezi kufuta chochote bali ataweza kutoa chet na kuweka kingine tuu ndo hy edit ila zile information zingine hawezi kubadili.

Kweli mkuu ni edit tu lakini kila niki edit hola mm nme add tu hizo certified na original zimebaki
 
Acha uoga scroll hiyo screen ya simu yako kwenda kulia utaona delete, screen ya simu ni ndogo ku display Kila kitu

Bro hamna kulia wala nn option ya delete haipo kbsa kwnye hicho kipengele
 
Certified certificate ni kwamba zinapita kwa manasheria au?? Ni vikishatoka chuo tu vinakuwa certified?
 
Certified certificate ni kwamba zinapita kwa manasheria au?? Ni vikishatoka chuo tu vinakuwa certified?
Chukua vyeti OG katoe copies, hizo copies ndizo zinapigwa mhuri na mwanasheria na ndizo utakazoweka kwenye system
 
Back
Top Bottom