- Thread starter
- #21
Wenye akili za kuyafanya haya wameambiwa wajiajiri, wapo mtaani kama machinga.
Acha tu wanachukua waliokariri madesa na sio wenye uwezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili za kuyafanya haya wameambiwa wajiajiri, wapo mtaani kama machinga.
mimi nataka niapply udereva unaweza kunisaidia kiaongozi....?Tuma information zako nikusaidie kuapply hiyo kazi
Logic yake ni nini hasa? Yaani mfano kuna nafasi ya mwalimu inatakiwa kufundisha sekondari sasa kuna watu wawili mwenye diploma na mwenye digrii kwa hiyo digrii anaachwa?? Kwa nini isiwe ni added advantage kumpata mwenye digrii kwa position ya diploma?? Aliye design huo mfumo ni kiazi kweli kweli.Ni kwa sababu ni over qualified, umepindukiza vigezo system imekuwa designed kwa kuchanganua vigezo husika kwa maana huwezi kuomba chini ya vigezo ulivyokuwa navyo inaangalia kigezo cha juu zaidi, kama vile huwezi kuomba nafasi ya kazi isiyoendana na elimu yako.
Alaf sidhan kama utaweza ku delete cheti chako uombe nafas ya diploma au chini yake, system pia inakataa hvyo, ukiwa cheti cha degree umeweka.
Sina uhakika sana, mie ninavyojua kiserikali elimu ya mwisho ya ulazima ni degree ya kwanza, nyenginezo zinakuwa kama added advantage, na ndio maana vigezo vya mshahara wa serikal mwisho ni kwa degree, ukiachilia mbali kwa zile kazi zinazotaka specific requirements kama assistant lecture ambazo huanzia master's degree na lecture kwa Phd.Logic yake ni nini hasa? Yaani mfano kuna nafasi ya mwalimu inatakiwa kufundisha sekondari sasa kuna watu wawili mwenye diploma na mwenye digrii kwa hiyo digrii anaachwa?? Kwa nini isiwe ni added advantage kumpata mwenye digrii kwa position ya diploma?? Aliye design huo mfumo ni kiazi kweli kweli.
Ulishafungua profile tayari??? La lina asilimia ngapimimi nataka niapply udereva unaweza kunisaidia kiaongozi....?
haha kuna namna unapindua pindua unaweza applyTuma information zako nikusaidie kuapply hiyo kazi
Kama ulishaweka cheti cha degree basi utaaply za degree tuuu..
hata akipindua awezi ku apply maana kimsingi cheti cha degree hakiwezi tokahaha kuna namna unapindua pindua unaweza apply
System iko very systematic, kama wametangaza nafasi ni ya diploma wewe una degree ukaomba diploma inakutema automatically. Na kama unadiploma na degree kwa pamoja ukaomba Diploma kwa CV uliojaza unadegree system inakucheuwa... Yani wakitaka Diploma chomoa degree ombea Diploma, wakitaka Degree chomoa Diploma ombea Degree... kinyume na hapo tegemea kupata hilo bango...
kuna mtu kawezza ila sijui kawezaje...hata akipindua awezi ku apply maana kimsingi cheti cha degree hakiwezi toka
Ulishafungua profile tayari??? La lina asilimia ngapi
Mkuu kipi kimekusibu haswa...maana huenda changamoto uliuonayo suluhu yake ikapatkana hapa hapa kwenye kisima Cha maarifa...jf...maana mbona wengi wanatesa tu...Hii kero ya accounts za ajira portal nani anazitatua mbona kama imeundwa kutupa vikwazo tu lengo hasa ni lipi hasa maana hakuna mawasiliano nao mbona tunapelekana ovyo sana wadau