Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Email moja inatumika mara moja tu kufungua akaunti moja. So endapo inakataa tambua kuwa ishatumika na hivyo unapaswa kufungua email nyingine uitumie pia mara moja tu.
asante sana, let me open anew email
 
Wadau naomba msaada: najaribu ku register kwenye ajira portal inakataa na kuniambia kuwa Email Address exists wakati sijawahi register hapa. Tatizo ni nini?
Tumia email mpya. Kwanini kufungua gmail Ni dakika ngapi?
 
Tumia email mpya. Kwanini kufungua gmail Ni dakika ngapi?

Kwa hiyo afungue email mpya halafu ajisali upya ajira portal na aweke upya taarifa zake ndicho unacho jaribu kumfahamisha au kumshauri?

Kwanini tusiseme kuwa pengine anakosea jinsi ya kuandika email yake au passs word?

Kwanini tusimshauri aende kwenye forgot pass word aombe mpya kama email anaikumbuka vyema basi hapo atapata suluhu...kama aikumbuki vyema email possibly anaingiza email isiyo sahihi.....

Aanze kwanza na kuingia kwenye email yake aliyotumia kujisajili utumishi
 
ubarikiwe sana
 
Habari poleni na majukumu ya kujenga taifa nilikuwa naomba msaada wa kufanya account ya ajila portal iwe active.

Screenshot_20220327-104155.jpg
 
Ajila

Na kwenye cv yako utaandika unajua kuandika na kuongea kiswahili na kiingereza.
Siyo hapo tu hata alivyoandika hicho kizungu basi tu.

Yaani ku activated account ndo nini???

Kama ni mtu unasaka ajira kiukweli huwezi kupata ajira kwa taasisi makini.Isingekuwa kujuana kwenye hizi ajira kungekuwa na jobless zaidi ya waliopo, majority hawana sifa.Can you imagine a such kind of grammar from a job seeker who's a degree holder dah hatari Sana?
 
Waajiri huyu hakuna kumpa kazi. ataangusha taasisi badala yake anatakiwa kurudi tena shule
 
Mliyowahi kuapply kupitia mfumo wa ajira portal mlifanyaje mkafanikiwa maana mimi nagomewa.

Lakini pia kwenye kipengele cha academic qualification Hamna option ya kufuta qualification zingine msaada wenu jaman
 
Hiyo upande wa academic qualification imekuwaje? Weka wazi usaidiwe
 
Back
Top Bottom