asante sana, let me open anew emailEmail moja inatumika mara moja tu kufungua akaunti moja. So endapo inakataa tambua kuwa ishatumika na hivyo unapaswa kufungua email nyingine uitumie pia mara moja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana, let me open anew emailEmail moja inatumika mara moja tu kufungua akaunti moja. So endapo inakataa tambua kuwa ishatumika na hivyo unapaswa kufungua email nyingine uitumie pia mara moja tu.
DuDawa ya haya yote Ni Katiba mpya
Hahaha hahaha hahaha hahahaDawa ya haya yote Ni Katiba mpya
Tumia email mpya. Kwanini kufungua gmail Ni dakika ngapi?Wadau naomba msaada: najaribu ku register kwenye ajira portal inakataa na kuniambia kuwa Email Address exists wakati sijawahi register hapa. Tatizo ni nini?
Tumia email mpya. Kwanini kufungua gmail Ni dakika ngapi?
Kuna option ya others, jaza kwa kutumia hiyoNina tatizo kama lako maana kuna baadhi ya vyuo hawajaorodhesha kozi zote,mfano chuo cha St.Augustine kozi za degree zote hazmo,
ubarikiwe sanaKwa hiyo afungue email mpya halafu ajisali upya ajira portal na aweke upya taarifa zake ndicho unacho jaribu kumfahamisha au kumshauri?
Kwanini tusiseme kuwa pengine anakosea jinsi ya kuandika email yake au passs word?
Kwanini tusimshauri aende kwenye forgot pass word aombe mpya kama email anaikumbuka vyema basi hapo atapata suluhu...kama aikumbuki vyema email possibly anaingiza email isiyo sahihi.....
Aanze kwanza na kuingia kwenye email yake aliyotumia kujisajili utumishi
Jamani bangi tuachieni tutumie sisi tusio na stress za maisha.Nina tatizo kama lako maana kuna baadhi ya vyuo hawajaorodhesha kozi zote,mfano chuo cha St.Augustine kozi za degree zote hazmo,
Kweli wewe unatumia bangi kali, na tunakuachiaJamani bangi tuachieni tutumie sisi tusio na stress za maisha.
AjilaHabari poleni na majukumu ya kujenga taifa nilikuwa naomba msaada wa ku activated account ya ajila portal kama kuna mtu anajua, asante.View attachment 2165734
Siyo hapo tu hata alivyoandika hicho kizungu basi tu.Ajila
Na kwenye cv yako utaandika unajua kuandika na kuongea kiswahili na kiingereza.
ku activated account ndo nini???
Hiyo upande wa academic qualification imekuwaje? Weka wazi usaidiweMliyowahi kuapply kupitia mfumo wa ajira portal mlifanyaje mkafanikiwa maana mimi nagomewa.
Lakini pia kwenye kipengele cha academic qualification Hamna option ya kufuta qualification zingine msaada wenu jaman