Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Kwakifupi uende tu dodoma pale 77 panda gari zinazoenda social waimbe wakushushe utumishi.watatua shida yako kwa haraka sana
Hapo ofisini kwao penyewe wapo walinzi tu na mabenchi.wahusika wako wanadhurura tu huko mnadani wakinywa supu ya utumbo wa mbuzi.
 
Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?

Yan kuna vitu vipo wazi sana kazi ni ya ustawi ww wa maendeleo unazani system itakukubal mbona kazi za MAENDELEO watu wa ustawi pia system huwkataa pia
 
Yan kuna vitu vipo wazi sana kazi ni ya ustawi ww wa maendeleo unazani system itakukubal mbona kazi za MAENDELEO watu wa ustawi pia system huwkataa pia
Kinachoniumiza mbona wanahitaji watu wa Sociology akati Sociology na Community Development ni wale wale tu.
 
Jana nilienda ofisi za sekretariat ya ajira hada dar es salaam, nikambiwa ofisi zimeambishiwa Dodoma hapo wamebaki watu wawili tu na wao hawatakuwepo hadi baada ya wiki mbili. Nilishangaa sana inawezekanaje ofisi ya selikari kufungwa hivo..
 
Yani nimeshangaa sana kuona watu wa sheria nao wamekuwa qualified kuomba nafasi za financial management officer
Hao wanasheria watakaoenda kwny hio Pepa ya F/Management watakutana na kipigo zaidi ya kile walichokipata Ma HR walipoomba zile nafasi pale bandarini(Operational officers).
 
Jana nilienda ofisi za sekretariat ya ajira hada dar es salaam, nikambiwa ofisi zimeambishiwa Dodoma hapo wamebaki watu wawili tu na wao hawatakuwepo hadi baada ya wiki mbili. Nilishangaa sana inawezekanaje ofisi ya selikari kufungwa hivo..
Kwamba hujui huyo jamaa unayemtumia kwny avatar yako ndio alihamishia wafanyakazi Dom sio?
 
Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii.
Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Jamii mbona kama zinaendana!?
Ukilitimba wa ajabu umeingia utumishi, watu wa aquaculture mfumo unawazuia kutuma kazi za afisa uvuvi akati miaka yote wanapata.
 
maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii mbona vitu viwili tofauti. ndio maana wameweka qualifications.. subir ajira za maendeleo ya jamii utaomba. ambapo hata mtu wa ustawi wa jamii hawezi kuomba.
Community Development
Social work
Sociology
Gender and development
Management of social development

Wote wanafanya kazi kwa kuingiliana hakuna tofauti.

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
watanzania tuko nyuma sana kwenye issue za teknolojia

sasa kama issue ndogondogo kama hizi wahusika wanashindwa kurekebisha vipi siku tukipokea kichapo kutoka lile group la udukuzi la anonymous itakuwaje
 
Ukilitimba wa ajabu umeingia utumishi, watu wa aquaculture mfumo unawazuia kutuma kazi za afisa uvuvi akati miaka yote wanapata.
Aliyeshiba ni ngumu sana kumkumbuka mwenye njaa.. aya maisha tu.. ipo siku
 
Jana nilienda ofisi za sekretariat ya ajira hada dar es salaam, nikambiwa ofisi zimeambishiwa Dodoma hapo wamebaki watu wawili tu na wao hawatakuwepo hadi baada ya wiki mbili. Nilishangaa sana inawezekanaje ofisi ya selikari kufungwa hivo..
Ni kweli, ofisi za utumishi zipo Dodoma mbona tangu kitambo sana.

Kuna mji unaitwa mtumba sijui.!!
 
Jamani hawa ajira portal ni wakatili sana, nashindwa kuwaelewa kwanini wanakuwa na ubaguzi kiasi hiki..

Soma kwa makini izo qualifications na hapo kuna kitu wameandika from any equivalent qualifications lakini wananikataa mimi wa Community Development.. kweli jamani Sociology, Law, Public Administration sio Equivalent na Community Development!!
Hawa ajira portal wanajua kukatisha tamaa watu kuhusu ndoto za kuajiriwa, Mh. Rais Samia naomba sikia kilio hiki Waziri Jenista Mhagama sikia kilio hiki mama 😢😭😭

nimeumia sana kama kijana mwenye ndoto za kuajiriwa na serikali yangu pendwa. Yatapita tu 🇹🇿 Nakupenda Tanzania.
Screenshot_20220603-215339.png
 
Jamani hawa ajira portal ni wakatili sana, nashindwa kuwaelewa kwanini wanakuwa na ubaguzi kiasi hiki.. soma kwa makini izo qualifications na hapo kuna kitu wameandika from any equivalent qualifications lakini wananikataa mimi wa Community Development.. kweli jamani Sociology, Law, Public Administration sio Equivalent na Community Development!! Hawa ajira portal wanajua kukatisha tamaa watu kuhusu ndoto za kuajiriwa, Mh. Rais Samia naomba sikia kilio hiki Waziri Jenista Mhagama sikio kilio hiki mama 😢😭😭 nimeumia sana kama kijana mwenye ndoto za kuajiriwa na serikali yangu pendwa. Yatapita tu 🇹🇿 Nakupenda Tanzania.
Screenshot_20220603-215339.png
 
mfumo wao ni wa kifala sana, mtu unakua na sifa ila inakugomea

halafu wameweka namba za simu ambazo hazipatkani, hii nchi kuna ofisi zimebeba mizigo isiyojitambua
Screenshot_20220603-082118.png
 
Back
Top Bottom