Jamani hawa ajira portal ni wakatili sana, nashindwa kuwaelewa kwanini wanakuwa na ubaguzi kiasi hiki.. soma kwa makini izo qualifications na hapo kuna kitu wameandika from any equivalent qualifications lakini wananikataa mimi wa Community Development.. kweli jamani Sociology, Law, Public Administration sio Equivalent na Community Development!! Hawa ajira portal wanajua kukatisha tamaa watu kuhusu ndoto za kuajiriwa, Mh. Rais Samia naomba sikia kilio hiki Waziri Jenista Mhagama sikio kilio hiki mama 😢😭😭 nimeumia sana kama kijana mwenye ndoto za kuajiriwa na serikali yangu pendwa. Yatapita tu 🇹🇿 Nakupenda Tanzania.