Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Wakuu habari zenu,

Naomba kufahamishwa kuna tatizo gani katika frumo wa kuomba ajira serikarini kupitia sekretariet ya ajira.

Ni zaidi ya wiki mbili kuna dogo alihitaji nimsaidie kuweka current picha yake kwenye profile la kuomba ajira kama maelekezo yanavyo hitaji, lakini nimejaribu sana kupitia simu na Kompyuta lakini imeshindikana. Naona inaload tu.

Nimejaribu kutrace nikaona pia kuna watu wanakutana na changamoto hii. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa namna gani ya kuweza ku upload,, Resolution zimezingatiwa na pia picha iko chini ya MB walizolimit.

Naomba mwenye ufahamu zaidi atufahamishe.
 
Changamoto za ajira portal ni nyingi kuliki Kudate na mtoto wa shule
 
Download hio alafu weka picha yako passport ya Tanzania izoom (crop) iupload ikigoma njoo untusi
20220617_120138.jpg
 
Mimi kozi yangu hakuna katika category zote zinazoshabihiana na kozi yangu. Je nifanyeje?
 
Mimi pia mwamba shida hiii inanisibu nimepambana sana lakini wapi
 
Habari za muda huu. Samahani naomba kusaidiwa.

Nimedownload app ya ajira portal lakini kila nikijaribu kujisajili naambiwa mara wrong email address, mara incorrect password nashindwa nifanyeje ili kujisajili.

Naomba mwenye utaalamu anisaidie nini cha kufanya.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom