serikalibora
New Member
- Apr 21, 2019
- 4
- 9
Nimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini.
“Wewe ni Lower Second… sisi tulikuwa tunataka Upper Second.”
😐😐😐
SWALI LANGU NI HILI:
KAMA MLIKUWA MNAHITAJI UPPER SECOND, KWANINI MKANISHORTLIST KWENYE AJIRA PORTAL???
Ajira Portal si ndiyo inayofilter applicants? PSRS si ndiyo wanapitia qualifications kabla ya kuita watu interview? Au shortlist nowadays ni kama bahati nasibu?
Mtu unatoka mbali, unaingia gharama zote hizo, unachoka kusafiri, then unaambiwa eligibility issue siku ya interview? Hiyo information hamkuiona kabla? Au mnasubiri watu wafike Dodoma ndiyo muwaambie hawafai?
Hakuna refund. Hakuna apology. Hakuna accountability. Ni “next candidate please.”
Halafu watu wakilalamika unemployment stress mnajifanya hamuelewi. Mfumo wenyewe unawatesa watu ambao tayari maisha yanawabana.
Honestly huu utaratibu wa PSRS na Ajira Portal SIO MZURI. Either wafanye proper verification kabla ya kuita watu, au waache kuchezea muda na fedha za applicants.
- Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma
- Nikatbook hoteli na kuilipia
- Nikatumia hela ya kula, usafiri na maandalizi mengine
- Nikafika mapema kabisa kwenye venue ya PSRS