Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Dahh utumishi wanachosha sana, namalizia received mbili za mwisho natemana nao!Bora wazee vijana ndio wabaya zaidi km ulikua haujui wazee wana huruma kuliko vijana
Dahh utumishi wanachosha sana, namalizia received mbili za mwisho natemana nao!Bora wazee vijana ndio wabaya zaidi km ulikua haujui wazee wana huruma kuliko vijana
Hizo received ungeweza hata usiende hio hela ya nauli ya dodoma ongezea mzigo kwenye biashara zako maisha mengine yaendeleeDahh utumishi wanachosha sana, namalizia received mbili za mwisho natemana nao!
Uzuri hizi za online ni wilayani kwako tu!Hizo received ungeweza hata usiende hio hela ya nauli ya dodoma ongezea mzigo kwenye biashara zako maisha mengine yaendelee
Ndio hapo unafanya written baada ya written ndio umemaliza si ndio?Uzuri hizi za online ni wilayani kwako tu!
Unaenda oral..Ndio hapo unafanya written baada ya written ndio umemaliza si ndio?
Ndio Maisha Na Changamoto Zake Hizo.....Unakabiliana Nazo Then Unasubiri Nyingine Huwaga Ni Bandika Bandua...Na Kila Mtu Ana Zake Kwa Usawa Wake....Mwanza to Dodoma
Dodoma to Mwanza
Nauli unajua ni kiasi gani? Hapo bado hujala hujalala ndio unaita changamoto
Hivi Kwa Nini awe shortlisted?hicho ndicho anacholalamikatangazo ulilisoma vizuri lakini
Dodoma ndio nimekwambia hio nauli go & return kachukue mzigo ongeza kwenye biashara zako hao unaowaona miyeyusho hawatoacha kua miyeyusho kisa wewe umefanya written unafika wanakwambia rudi kwenu na lower second yako hatuwataki nyinyi wenye lower second tunawataka upper second na first class tuUnaenda oral..
huyo aliyemkataza itakua alikua na ajenda zake.angewapigia utumishi direct kingeeleweka tuHivi Kwa Nini awe shortlisted?hicho ndicho anacholalamika