serikalibora
New Member
- Apr 21, 2019
- 4
- 9
tangazo la kazi lilisema wanataka gpa hiyo ua upper second , kama hamna bas fatilia kada za taaluma ndo huwa wanataka kuanzia upper secondNimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini.
Saa 1 asubuhi niko pale tayari kwa oral interview. Wakati wa ukaguzi wa vyeti ndipo mtu ananiambia:
- Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma
- Nikatbook hoteli na kuilipia
- Nikatumia hela ya kula, usafiri na maandalizi mengine
- Nikafika mapema kabisa kwenye venue ya PSRS
āWewe ni Lower Second⦠sisi tulikuwa tunataka Upper Second.ā
ššš
SWALI LANGU NI HILI:
KAMA MLIKUWA MNAHITAJI UPPER SECOND, KWANINI MKANISHORTLIST KWENYE AJIRA PORTAL???
Ajira Portal si ndiyo inayofilter applicants? PSRS si ndiyo wanapitia qualifications kabla ya kuita watu interview? Au shortlist nowadays ni kama bahati nasibu?
Mtu unatoka mbali, unaingia gharama zote hizo, unachoka kusafiri, then unaambiwa eligibility issue siku ya interview? Hiyo information hamkuiona kabla? Au mnasubiri watu wafike Dodoma ndiyo muwaambie hawafai?
Hakuna refund. Hakuna apology. Hakuna accountability. Ni ānext candidate please.ā
Halafu watu wakilalamika unemployment stress mnajifanya hamuelewi. Mfumo wenyewe unawatesa watu ambao tayari maisha yanawabana.
Honestly huu utaratibu wa PSRS na Ajira Portal SIO MZURI. Either wafanye proper verification kabla ya kuita watu, au waache kuchezea muda na fedha za applicants.
View attachment 3591530
dah ni kweli itakua walimfanyia fitina maana mfumo ungemkataa mapema kabla ya written. alikosea ilitakiwa awapigie utumishi mapemaSijawahi iamini ajira portal toka wamteme Mwanangu kipanga wa kweli written alipata 95.Oral aliniambia kafumua kupita maelezo...Kwa maelezo yako hukutakiwa kufanya written kwani hukukidhi vigezo Iweje..kama ulifanya written iweje Oral wakuzuie? na vyeti ni vile vile vilivyopo kwenye mfumo?..Kuna kamchezo wanakafanya hata kwenye kuajiri sio wote walioitwa kazini kwamba walipata alama za juu kuwazidi walioachwa na ndio maana matokeo ya oral huwa yanafichwa..Ila ukibahatika kupata utajiona wewe ni kipanga kumbe ni bahati tu imekuangukia.
kwa maandalizi aliyokuwa ameyafanya, kujiandaa na mtihani isingekuwa rahisi kwani walikuwa wameshamvuruga..dah ni kweli itakua walimfanyia fitina maana mfumo ungemkataa mapema kabla ya written. alikosea ilitakiwa awapigie utumishi mapema
wazee wa not selcted for oral matako yao..Pole sana mkuu, mimi sina hamu na utumishi sio siri!šš¾
Na sijui kwanini wameweka wazee vileš«¢wazee wa not selcted for oral matako yao..
Pole sana mkuu nahisi ilikua bahati mbaya tu kwako ndio ikatokea hivyo ila pia ni mbinu na namna ya kupunguza watu ukute kulikua hata hakuna sababu ya kukupunguza kwa namna hio wangekuacha tu ufanye wakakupunguza juu kwa juu kuliko kukufanyia hivyo nadhani aliefanya hivyo alikosea kwa namna fulani hakutumia uungwana na nina uhakika atakua mwanamke maana mwanaume hawezi kukufanyia hivyo lazima atumie maamuzi ya busara bila kukukwaza kihisiaAjira Portal si ndiyo inayofilter applicants? PSRS si ndiyo wanapitia qualifications kabla ya kuita watu interview? Au shortlist nowadays ni kama bahati nasibu?
Mwanza to Dodoma
Hakuna Kukata Tamaa Mzee Kamwe,,Mapambano Yaendelee,, Changamoto Haziishi Kwa Haya Maisha Katu...
Gender issues!Pole sana mkuu nahisi ilikua bahati mbaya tu kwako ndio ikatokea hivyo ila pia ni mbinu na namna ya kupunguza watu ukute kulikua hata hakuna sababu ya kukupunguza kwa namna hio wangekuacha tu ufanye wakakupunguza juu kwa juu kuliko kukufanyia hivyo nadhani aliefanya hivyo alikosea kwa namna fulani hakutumia uungwana na nina uhakika atakua mwanamke maana mwanaume hawezi kukufanyia hivyo lazima atumie maamuzi ya busara bila kukukwaza kihisia
Bora wazee vijana ndio wabaya zaidi km ulikua haujui wazee wana huruma kuliko vijanaNa sijui kwanini wameweka wazee vileš«¢
Pesa nyingi hiyo aisee unateketeza pesa kwa ujinga wao wenyewe!Mwanza to Dodoma
Dodoma to Mwanza
Nauli unajua ni kiasi gani? Hapo bado hujala hujalala ndio unaita changamoto