Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule unafanya kazi kwa miongozo, sheria na kanuni zilizopo, huwezi kujipelekea ubunifu wako, si kampuni ya ukoo ile.Wazee wa kula keki
Nyie ndiyo mkiajiriwa mnatuibia wahuni wakubwa
Wewe unafikir ukiajiriwa utaleta tija gani?
Kwanza wewe ni kilaza ungekuwa kipanga ungeshaajiriwa
Huku private hatuwataki vilaza kama nyie
vyote hivyo vinafilisi serikaliMafao ya watumishi si michango yao. Halafu unapoitetea serikali kwamba haina hela za kulipa watu hao wakati kuna kundi dogo la watu linaweza likakwapua zaidi ya trillion 1 ndani ya mwaka kwenye mfumo wa serikali na maisha yakaendelea. Mbona usiseme serikali itafilisika?