permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Unapoteza muda na hii hoja. Unapaswa kutofautisha uendeshaji wa Serikali na kitu kama biashara ya hardware au kufyetua tofali. The more mtu akifanya kazi ndivyo anakua master wa hio kazi.We umeajiriwa that’s why unaongea hivyo hujui watu wanavyopitia magumu na wamegharamia elim zao pia, ukiniuliza me nnamchango gani na wewe unamchango upi tofauti na hiyo uliyosema hapo!?
Cha tofauti kati yangu me na wewe ni kwamba we upo ni position monger, hutaki kuachia nafasi wengine na hujajipanga kustaafu mana unajua huna mida specific wa kukaa kwa office uliyopo.
Wacha tuongee huenda ipo siku Sauti zetu zitafika pale ambapo tunahitaji, leo Kuleni tu ila aliyemleta JPM atamleta mwingine mwenye maamuzi ya kiume zaidi na mtatafutana tu, mmekuwa waroho wa mali za umma, mmejawa hila tamaa na ubadhilifu pamoja na dharau.
Ety fanya kazi Acha aliepata apate kauli ya kipuuzi mno hii.
Zaidi sikuona mtu anasema anataka kwenda kuboresha nini ila imeelezwa kama ni mzunguko wa watu kuajiriwa Serikalini kwa ajili ya kupata fedha.
Kama unasema una elimu nzuri mbona usiombe hata huko private au ukajiajiri?