Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu
umeandika nini hiki, kijana!
njoo huku Njombe kuna fursa za kilimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.Unamaanisha makato ya kwenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii yasiwepo na hiyo iwe moja kati ya condition za utaratibu huo wa ajira?
Vinginevyo tuondoe neno 'Kustaafishwa'.
Kwa utaratibu wa elimu yetu ni nadra sana kukuta mtoto anaanza kazi rasmi akiwa na 23 years.

Mikataba ni chanzo kizuri cha ufanisi kutokana na vifungu vya makubaliano vinavyowabind pande zote.Sawa sikatai watu wamefanya kazi, hali iliopo sasa ni kwamba ufanisi sio ule uliokuwepo zama zile. Uzalendo hakuna hilo sijui utaliteteaje. Kazi inaenda na matokeo ila kwa hapa tulipofikia ni dhahiri kazi za mikataba zingeongeza tija. Uzembe unaofanyika serikalini huwezi kuukuta kwenye kampuni binafsi. Utajiuliza ni kwanini? Jibu liko wazi
Wakiitwa wabinafsi halafu wewe usiende nitashangaa sana,Trust me! Niwe nafanya kazi(employed) au sifanyi kazi(unemployed)lakini hii mentality yenu(hasa wewe) sio kweli
Man hakuna siku wote tutapata ata kila mtu akihudumu kwenye position yake mwezi mmoja.Pili,hii roho unakuwa nayo si kwa sababu unataka kuona positive change hamna ila ni kwa sababu na wewe unataka upate si ndio?(kama jibu ni ndio basi tafuta,mazingira yako fair kiasi kwamba unaweza kufikia pale unapotaka)
Hakuna siku utamuona tena huyo JPM(RIP) mwingine kama unavyofikiria.Haya maombi yenu ni ya kibinafsi na sio kwa ajili ya tija kwa wote.Simple test,hivi wewe binafsi unaona una-fit sehemu gani ambayo unaona aliyepo kwenye hiyo position akitolewa utafanya tofauti?
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.Unamaanisha makato ya kwenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii yasiwepo na hiyo iwe moja kati ya condition za utaratibu huo wa ajira?
Vinginevyo tuondoe neno 'Kustaafishwa'.
Kwa utaratibu wa elimu yetu ni nadra sana kukuta mtoto anaanza kazi rasmi akiwa na 23 years.
Kwa mfumo wa mikataba itawezekana😂 kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.Unamaanisha makato ya kwenda kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii yasiwepo na hiyo iwe moja kati ya condition za utaratibu huo wa ajira?
Vinginevyo tuondoe neno 'Kustaafishwa'.
Kwa utaratibu wa elimu yetu ni nadra sana kukuta mtoto anaanza kazi rasmi akiwa na 23 years.
Wew kwa vile una akili zote tuambie hao mabingwa wakifa wote hosp znafungwa?? By the way hata mtaani mabingwa wapo hawajapewa nafas tu acha ubinafsi ng'atukaKwahiyo madaktari ningwa wote wae wakufunzi ili Hali huko vyuobi wakufunzi wapo, aise hii akili ya wapi mkuu
Kwani hatuwezi kuzalisha wataalamu hao wa kutosha tukiacha siasa zisizo na maana yoyote?Kuna kada nyingine sio za kuongelea tu eti kwa sababu baba yako hana ajira
Madaktari bingwa wanapatikana kwa njia ngumu sana sio rahisi kuwastaafisha kwa miaka 10 tu kijana
thats wastage of precious materials
Mtaalam wa mionzi mfano yuko mmoja tu katika hospitali flani, umstaafishe ili iweje?
waalimu wa Sayansi hawatoshi kabisa huko katika idara za Elimu msingi na sekondari, bado uwastaafishe, ili iweje?
SERIKALI INAPASWA KUPAMBANA NA HILI TATIZO LA AJIRA KWA NAMNA YA TOFAUTI, sio hivi ulivyoandika
Kama ni umasikini hao walioajiriwa mbona hawataki kuachia ofisini?Kuwazawaza kuajiriwa ni kuupenda umasikini...!!
Sawa mkuu... 👍Kama ni umasikini hao walioajiriwa mbona hawataki kuachia ofisini?
Hapa tunazungumzia nafasi za ajira na utendaji pia.
Imagine tangu 1990s mtu yuko kwa ofis hadi now na hakuna kitu anafanya zaidi ya uvivu na wizi tu hili taifa litakuwa linaelekea wapi kila siku.
We need changes na tunaanza na kuwasakama hawa kwanza.

Exactly🤣Mikataba ni chanzo kizuri cha ufanisi kutokana na vifungu vya makubaliano vinavyowabind pande zote.
Sasa we upewe office ndani ya miaka mitano kwa lengo la kutimiza mradi fulani au kusimamia shughuli zenye kufikia shabaha fulani.
Ikitokea umeshindwa kufanikisha makubaliano na ikiwa ulipewa nyenzo zote za kiutendaji na bajeti ya kutosha kutimiza shughuli ya watu utapaswa kulipa fidia za watu kulingana na vifungu vya mkataba.
Hii imekaa powa sana habari ya kuingia ofisini kisign hasubuhi then unashinda JF unakula lunch mchana jioni unassign out unatoka bila kufanya kitu then mwisho wa mwezi income earned as usual.
Hii tabia itakomeshwa.

Uliona wapi hii?Serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu.