MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Pension ya huyo mstaafu unaanza kumlipa lini? mifuko ya mafao huko serikalini ina huo ukwasi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kiongoziKiburi cha Check number hiki🤣
Ni zaidi ya Katiba Kama ikiwezekana Kwa uhalisia wa 200%.Hii mada ni ngumu, ni sawa na kudai katiba
Mnaongea kitu ambacho hamkijui kabisaaHilo sio sawa, huwezi kuwatoa watu wenye uzoefu.
Ni bora wafanyakazi wote wa serikali wawe na mikataba ya miaka mitano mitano.
Kupata mkataba mpya wa kuendelea na mitano mingine itategenea na uadilifu, ufanisi, uchapa kazi, uzalendo na uzalishaji na matokeo chanya. Vinginevyo chukua mafao yako ukapambane mtaani.
Pension ya huyo mstaafu unaanza kumlipa lini? mifuko ya mafao huko serikalini ina huo ukwasi?
Wizi wa hapo utakuwa ni wizi ambao haukawahi kutilokea maana mtu ajikusanyie chap aachane na serikaliSerikali yako ina hela za kulipa mafao ya watumishi kila baada ya miaka 10?
😂😂😂😂😂😂 Hadi tukifika hapo basi ujue tutakuwa tushamalizana na ufisadiWizi wa hapo utakuwa ni wizi ambao haukawahi kutilokea maana mtu ajikusanyie chap aachane na serikali
NGO inayo endesha shughuli zake kisheria ni lazima ifuate matakwa yote ya sheria za kimataifa za ajira na sheria za kitaifa, hivyo ni lazima watumishi wake wawe pensionable na wawe na mikataba inayo tambuliwa kisheria ,wawe walipa kodi nk . Ukiona NGO inaendesha shughuli zake na haifuati huo utaratibu basi ujue ni ya kitapeliPension ya nini mtoto kaajiriwa na 23 akifika 28 anaachia ofisi hapo unalipwa penshen gani na bado umri mdogo? Kwani wanaopiga kazi kwenye NGO wanalipwaga pension wale baada ya contract ya miaka 5
Sina takwimu sahihi lakini kuhusu auditing and performance test zinafanyika katika ofisi za umma na kwa watumishi piaKiburi cha Check number hiki
Hizi ni siasa za waliojiriwa 😂 utaskia jiajirini.. Mara uzoefu sijui blaah blaah. Hivi Tanzania hii wafanyakazi wanaofanya kazi na kuwa audited na measures kama KPI ni % ngapi serikalini? Gavo Imekuwa ni sehemu ya watu kupumzikia maana hamna productivity yoyote zaidi ya kusaini mshahara tu😄 ukiachana na nafasi za udaktari na za ma technicians.
Najua huwezi rudia kusoma ulichoandika hapa🤣🤣🤣 sababu unajua kuwa ni porojoSina takwimu sahihi lakini kuhusu auditing and performance test zinafanyika katika ofisi za umma na kwa watumishi pia
Kuhusu production nadhani umewaza tofauti.Hizi ofisi za umma zingekuwa hovyo kama unavyodhani nadhani impact ingekuwa-felt katika maisha ya kila siku. Lakini unaona kabisa mambo kwa ground yapo sawa, mapambio ya mama yupo kazini mengi(hii inatosha kuonyesha public offices nyingi zinafanya kazi kwa ufanisi)
Huko vyuoni watakuwa wanajitolea?Hapana kwa kutumia rationality, kuna sectors zinafaa kuajiri watu kwa muda mrefu na sectors zingine zinapaswa kuajiri watu kwa muda mfup.
Hicho unachokisema kipo sahihi ila umeegemea katika upande wa watu wanaopaswa kupewa muda katika nafasi za kiutendaji,
Lakini pia tukitizama hao hao madaktari bingwa waliokuwa wachache muda wa miaka kumi ni mingi kazini wanaweza kufanya kazi then baada ya hapo wakawa wakufunzi katika vyuo vikuu vya madaktari hapa nchini na wakasaidia kuzalisha madaktari bingwa wengine wengi, Mbona ni swala linalowezekana kama serikali ikiamua.
We unalipwaje pension kwa miaka 5 ya kazi?😂NGO inayo endesha shughuli zake kisheria ni lazima ifuate matakwa yote ya sheria za kimataifa za ajira na sheria za kitaifa, hivyo ni lazima watumishi wake wawe pensionable na wawe na mikataba inayo tambuliwa kisheria ,wawe walipa kodi nk . Ukiona NGO inaendesha shughuli zake na haifuati huo utaratibu basi ujue ni ya kitapeli
Hizo pension funds Ndio zinazorotesha bongo za waajiriwa wengi maana wako almost 1000% guaranteed na matokeo yake maendeleo na mipango mikakati ya nchi haiendi inavyopaswa.Pension ya nini mtoto kaajiriwa na 23 akifika 28 anaachia ofisi hapo unalipwa penshen gani na bado umri mdogo? Kwani wanaopiga kazi kwenye NGO wanalipwaga pension wale baada ya contract ya miaka 5
Kwahio point yako ya kwamba wameshafanya kazi na kupata mitaji ni VOID ab INITIO wala ilikuwa haina maana kuiweka hapa sababu hata wewe unapingana nayo...Kujiajiri ni kugumu na ni kipaji pia; ndio maana wengi wanategemea kuajiriwa mpaka wanakufa.
Mtaji unaweza usiwe sababu, sababu wapo wanaolipwa pesa nyingi kwenye kuajiriwa lakini hawawezi kujiajiri.
Kuhusu Sera sio kwamba aliyeajiriwa..., Kuhusu Sera ni kwamba tuliyemuajiri sisi ndio mabosi wake na anakula Kodi zetu hivyo ni kazi yake kutengeneza Sera wala sio Hisani..., Hao ndio kazi ya kutunga Sera..., wanacholipwa ndio wanatakiwa kukifanya..., Na hizo ndoto kwamba 100 percent ya watu wanaweza kujiajiri ndio nimekwambia ni Utopian Idea ambayo umekubaliana nayo paragraph ya kwanza naona tena unaileta hapa....
Kuhusu sera, unategemea alie ajiriwa akutengenezee wewe sera ya kujiajiri wakati yeye mwenyewe amefeli kujiajiri?
Mnajua kweli kuongea ,ukisema hakuna kinacho fanyika maana yake serikali imesimama ,au tafsiri yako ni ipi? Hali ingekuwa hivyo unavyo sema basi mchi hii isinge kuwa hapa ilipo, kikubwa ni nchi kuwa na utamaduni wa kuwajibisha viongozi wakubwa wa serikali na sio kulindana , huku chini watu wanafanya kazi bwana mdogo ndio maana nchi imefikia hapa ilipo, huwezi fananisha tanzania ya miaka 20 au 30 iliyo pita na ya sasa.Kiburi cha Check number hiki
Hizi ni siasa za waliojiriwa 😂 utaskia jiajirini.. Mara uzoefu sijui blaah blaah. Hivi Tanzania hii wafanyakazi wanaofanya kazi na kuwa audited na measures kama KPI ni % ngapi serikalini? Gavo Imekuwa ni sehemu ya watu kupumzikia maana hamna productivity yoyote zaidi ya kusaini mshahara tu😄 ukiachana na nafasi za udaktari na za ma technicians.
Ukweli ndio huu, serikalini kila mtu anajivunia security ambayo ndio hio pensheni. Wala focus sio ku deliver wengi wanaenda makazini kwa sababu watalipwa mshahara mwisho wa mwezi na posho za katikati ya mwezi🤣 ndio maana ukiwaambia habari ya kuwa na ajira za mikataba wengi wanang'aka hawataki kusikia hilo na wanalipinga vikali.Hizo pension funds Ndio zinazorotesha bongo za waajiriwa wengi maana wako almost 1000% guaranteed na matokeo yake maendeleo na mipango mikakati ya nchi haiendi inavyopaswa.
Aliepewa kazi, vision yake na mission yake ni mbingu na ardhi na aliempa hiyo kazi!!
Mtu yupo radhi afie ofisini kisa anafukuzia pension na sio Kwa sababu ana mchango husiozibika kwenye department yake!
System ya malipo na mafao yaweza kufuatwa ya private sector.
PPP inaweza kuwa Ndio mfunguzi wa njia pia.
Wewe ni mwajiliwa wa serikali tena ni mwalimu wa sekondari, niishie hapo.Japo sijawahi ajiriwa na serikali na pia sitarajii ila hili ni wazo la kijinga