mwidaddy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2022
- 357
- 658
Inshallah nakubaliana na wewe. Ila avarice inalea adversity kwenye taifa na ndy chanzo cha rushwa, nyie ni kuwakomalia tu hadi kwenye makongamano ya vyuo vikuu mada itafika mtatambua uongozi tu.Hacha kupoteza muda hicho kitu hakiwezekani, serikali haina hella ya kuwalipa na kwenye hesabu za uchumi hilo haliwezekani. Wewe tia juhudi na muombe Mungu upate ajira.
Thank you Mtoa mada hii mada nimeipenda nitapita nayo hadi kwa walengwa wahanga wahitimu wa vyuo vikuu.
Si mnasema haliwezekani ngoja tu liwafikie gen Z, litawezekana tu.