Mafao ya watumishi si michango yao. Halafu unapoitetea serikali kwamba haina hela za kulipa watu hao wakati kuna kundi dogo la watu linaweza likakwapua zaidi ya trillion 1 ndani ya mwaka kwenye mfumo wa serikali na maisha yakaendelea. Mbona usiseme serikali itafilisika?