Sijajua mkuu.Kwani Motiveshen spika Antoni luvunda anasemaje ?
Kweli kabisa👏👏Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya.
Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufingua nafsi.
Kwa hiyo unaweza kujiajiri na bado ukawa mtumwa kwa sababu tu unatafuta pesa lakini moyo haupendi hiko kitu.
Na unaweza kujiajiri na bado ukawa HURU kwa sababu unachokifanya unapenda na unakifurahia licha ya mshahara mdogo unaoupata.
Uhuru wa nafsi unakupa maana halisi ya utumwa, daktari ambaye anaipenda kazi yake hawezi kuacha kazi hiyo kwa kikwazo cha mshahara mdogo.
Kweli ni mdogo lakini kuenjoy kwake kazi hiyo ni kukubwa kuliko machungu ya kuongezewa laki unusu kwa mwaka.
KAMA UNAIPENDA KAZI UNAYOIFANYA USIACHE, BAKI NA KAZI YAKO KWANI UPO HURU KINAFSI.
Mbona wao wamejiajiriwa , kama chris mauki ni mwajiriwa wa udsm, na anawatia mademu wa pale kama hana aciri nzuriSijajua mkuu.
Motivesheni wengi wanasema kuajiriwa ni utumwa.
Alafu wengine wanakuambia fanya unachopenda.
Sasa kama niinachopenda ili nikifanye lazima niajiriwe kuna shida gani nikiajiriwa kufanya ninachopenda ?
HakikaBila shaka unafahamu utamu wa kufanya upendacho.
Hata mume ama mke unaweza kuchaguliwa na wazazi lakini ukampenda,hauwezi kumuacha ati kwa sababu umetafutiwa.
Lengo ni kupenda no matter how ....
Chris yule mwenye kumsifia mkewe kila wakati?Mbona wao wamejiajiriwa , kama chris mauki ni mwajira wa udsm, na anawatia mademu wa pale kama hana aciri nzuri
Huyo huyoChris yule mwenye kumsifia mkewe kila wakati?
Yah ishu sio kujiajiri ama kuajiriwa.Hakika
Nimejiajiri na nafurahia nikifanyacho sababu ndiyo kitu nikipendacho.. alhamdulilah.
Tobaaa roho yangu..!!! Nilijuaga ha-cheat ..mweeeh!!Huyo huyo
Ni mhadhiri wa Udsm
Kwann hasi cheat?Tobaaa roho yangu..!!! Nilijuaga ha-cheat ..mweeeh!!
😂😂 UmetishaaKwann hasi cheat?
Hata kama ni mimii ningekuwa mhadhiri wa chuo lazima ninge cheat , ukizingatia pisi kali mbichi , chuchu konzi zinajilengesha kibra , kwanini nisimalize kazi.
Nitunukuu kimasihara basi[emoji23][emoji23] Umetishaa
Wacha weehNitunukuu kimasihara basi
Ndio hivyoWacha weeh
I can't second this hard enough.Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya.
Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufungua nafsi.
Lakini leo babu zetu wanalima pia ila hawalalamiki kuwa ni utumwa kwa sababu wako huru kinafsi wameridhika.