Ajira sio utumwa ukiwa katika kazi ya ndoto yako unayoipenda

Yah ishu sio kujiajiri ama kuajiriwa.

Ishu ni kufanya unachokipenda.

Oa unayempenda eidha kwa kutafutiwa au utafute mwenyewe,maadamu umempenda basi kutafutiwa hakuzuwii kuoa.

Fanya unachopenda kwa kuajiriwa ama kujiajiri maadamu umependa basi kuajiriwa hakuzuii hata kidogo.

Kuna mwalimu wangu mmoja wa phsyics o level(sikufika a level) akifundisha unaenjoy na wewe unatamani kuwa kama yeye.

Jamaa ananoga akifundisha,yani kipengele hujaelewa unasema kimoyomoyo "hapa sijaelewa sio kwa sababu mwalimu hhajui kufundisha bali kwa sababu bichwa langu gumu"

Sasa bichwa lako likiwa gumu litawezaje kutambua kuwa hujaelewa?
 
Kwani ukiona wachina wanaongea utaelewa ?

Ila si unajua tu kuwa hii lugha inaelewa lakini mimi tu ndo sijaelewa.

Unahitaji kuelewa kuwa hujaelewa,ukiona hujaelewa kuwa hujaelewa basi hapo ndo unafahamu kinyume cha makusudio
 
Kweli ata mie mie hapa kichwa changu butu kinaniambia kuwa sijaelewa
 
Ahahah naaam hapo sasa safi.

Mungu wa maajabu sana.

Yani katupa akili ambazo zinatufanya tueleewe kuwa hatujaelewa.

Sasa kama tunaelewa kuwa hatujaelewa kwa nini tusielewe tu kabisa 😁😁😁😁
 
Wee jamaaa bana ndio unazidi kunifanya nijione kkchwa ugali....hii itakuwa shauri ya kugegeda mno
 
OFISINI

Me: Nakushukuru Mungu nafanya kazi nayoipenda sijari mshahara kihasi gani wala mazingira gani.

Boss: Wee Sivan kuna mafaili 100 ibabidi uyapitie mpaka saa 12 uyamalize mimi naenda kwenye miradi yangu.

Me: Boss japo muda wa kazi umeisha njtapitia yote hadi usiku kwasababu naipenda hii kazi.

Boss: hili jamaa fala sana nitaliburuza mpaka lipate akiri.

NYUMBANI

Me: Mke wangu ninafuraha hii kazi naipenda hata kama mshahara 300,000 ikitokea kazi nyengine hata ya 1M sitaacha kaz.

Mke: Sawa mumewangu ila mtoto anaumwa siku ya tatu matibabu inatakiwa 300,000 na dadayake huko shule kafukuzwa anadaiwa ada 400,000.

Me: Mke wangu mshahara wangu 300,000 kazi yangu naipenda.

Mke: Kimoyomoyo 'Sina mume hapa nina furushi la nyama'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mbona kama umemsema mtu
 
Sijajua mkuu.

Motivesheni wengi wanasema kuajiriwa ni utumwa.

Alafu wengine wanakuambia fanya unachopenda.

Sasa kama niinachopenda ili nikifanye lazima niajiriwe kuna shida gani nikiajiriwa kufanya ninachopenda ?

Achana nao na mijimaneno yao! Mtu mwenye akili anaelewa kuwa kuna makundi tofauti ya watu;
1. unaweza kuwa professional uliyeajiriwa na ukawa na uwekezaji binafsi ie unaweza ku balance vyote.

2.Kuna wengine ambao wao HAWATAKI na hawaajiriki hawa ni wajasiriamali ambao wamejikita huko tu wana mafanikio mazuri.

3.Wapo ambao wao wanaweza maisha ya kuajiriwa tu, huyu hawezi na hafanyi shughuli binafsi za kipato zaidi ya ajira yake na inamlipa vizuri.

4. Kundi la mwisho ni la wale wasiojitambua kipi kitawatoa hawa wanategemea kushauriwa ili aidha waone ukasiriamali au watafute ajira.

Hivyo basi, jambo la kwanza ni kujitambua your potentials kua unafit wapi!
 
Naaam...
 
Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya.

Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufungua nafsi.

Lakini leo babu zetu wanalima pia ila hawalalamiki kuwa ni utumwa kwa sababu wako huru kinafsi wameridhika.

Kwa hiyo unaweza kujiajiri na bado ukawa mtumwa kwa sababu tu unatafuta pesa lakini moyo haupendi hiko kitu unachotumia kutafuta pesa.

Na unaweza kuajiriwa na bado ukawa HURU kwa sababu unachokifanya unapenda na unakifurahia licha ya mshahara mdogo unaoupata.

Uhuru wa nafsi unakupa maana halisi ya utumwa, daktari ambaye anaipenda kazi yake hawezi kuacha kazi hiyo kwa kikwazo cha mshahara mdogo.

Kweli ni mdogo lakini kuenjoy kwake kazi hiyo ni kukubwa kuliko machungu ya kuongezewa laki unusu kwa mwaka.

KAMA UNAIPENDA KAZI UNAYOIFANYA USIACHE, BAKI NA KAZI YAKO KWANI UPO HURU KINAFSI.
Sio kweli kwamba hata kama mshahara ni mdogo utafurahia kazi yako na kujidanganya kichwani kwamba wewe sio mtumwa, wakati mshahara haupandi, cheo hupandishwi , hamna posho au bonasi n.k. wakati wewe ki elimu umetimiza vigezo vyote. Hizo ni kama ndoto za Abubunuwasi, ambaye aliridhika tu na harufu safi sana ya kitoweo kilichokuwa kinapikwa na jirani yeye akasema anaweza kula hata ugali kwa harufu tu. Chukulia kazi ambazo ni kazi kama nyingine lakini zina aina ya kama " wito" ndani yake. Nadhani ninmeeleweka, kama e.g. walimu, udaktari au manesi n.k kazi kama hizo maana hata uchafu wowote wa binadamu inabidi uupuzie ile kumtibu mtu halafu hapo hapo kero kibao kwenye mshahara kwa maoni yangu hiyo mizani unayotumia kwenye hiyo mada yako itayumba vibaya sana.
 
Achana nao na mijimaneno yao! Mtu mwenye akili anaelewa kuwa kuna makundi tofauti ya watu;
1. unaweza kuwa professional uliyeajiriwa na ukawa na uwekezaji binafsi ie unaweza ku balance vyote.

2.Kuna wengine ambao wao HAWATAKI na hawaajiriki hawa ni wajasiriamali ambao wamejikita huko tu wana mafanikio mazuri.

3.Wapo ambao wao wanaweza maisha ya kuajiriwa tu, huyu hawezi na hafanyi shughuli binafsi za kipato zaidi ya ajira yake na inamlipa vizuri.

4. Kundi la mwisho ni la wale wasiojitambua kipi kitawatoa hawa wanategemea kushauriwa ili aidha waone ukasiriamali au watafute ajira.

Hivyo basi, jambo la kwanza ni kujitambua your potentials kua unafit wapi!
Uchambuzi makini ulioshiba
 
Back
Top Bottom