Yaaa umechambua vyemaa sanaAchana nao na mijimaneno yao! Mtu mwenye akili anaelewa kuwa kuna makundi tofauti ya watu;
1. unaweza kuwa professional uliyeajiriwa na ukawa na uwekezaji binafsi ie unaweza ku balance vyote.
2.Kuna wengine ambao wao HAWATAKI na hawaajiriki hawa ni wajasiriamali ambao wamejikita huko tu wana mafanikio mazuri.
3.Wapo ambao wao wanaweza maisha ya kuajiriwa tu, huyu hawezi na hafanyi shughuli binafsi za kipato zaidi ya ajira yake na inamlipa vizuri.
4. Kundi la mwisho ni la wale wasiojitambua kipi kitawatoa hawa wanategemea kushauriwa ili aidha waone ukasiriamali au watafute ajira.
Hivyo basi, jambo la kwanza ni kujitambua your potentials kua unafit wapi!
Nimesema "KWELI NI MDOGO..."Sio kweli kwamba hata kama mshahara ni mdogo utafurahia kazi yako na kujidanganya kichwani kwamba wewe sio mtumwa, wakati mshahara haupandi, cheo hupandishwi , hamna posho au bonasi n.k. wakati wewe ki elimu umetimiza vigezo vyote. Hizo ni kama ndoto za Abubunuwasi, ambaye aliridhika tu na harufu safi sana ya kitoweo kilichokuwa kinapikwa na jirani yeye akasema anaweza kula hata ugali kwa harufu tu. Chukulia kazi ambazo ni kazi kama nyingine lakini zina aina ya kama " wito" ndani yake. Nadhani ninmeeleweka, kama e.g. walimu, udaktari au manesi n.k kazi kama hizo maana hata uchafu wowote wa binadamu inabidi uupuzie ile kumtibu mtu halafu hapo hapo kero kibao kwenye mshahara kwa maoni yangu hiyo mizani unayotumia kwenye hiyo mada yako itayumba vibaya sana.
Ahaaa, sasa nikwambie rafiki yangu, hapo unapotaja uvumilivu ndio " utumwa" huo,nadhani wote tumeelewana sasa. Asante san kwa kurudi na ufafanuzi safi kabisa.Nimesema "KWELI NI MDOGO..."
pia nikasema kuinjoy kwake ni kukubwa kuliko machungu ya kutokuongezewa kiasi fulani cha pesa.
Sikukataa kuwa hakuna machungu.
Sikukataa kuwa mshahara mdogo.
Lakini ikija ishu ya kupenda kazi yako basi utavumilia mengi tu na hiyo ndo kupenda kwa kweli ,kupenda kwa kweli kuvumilia mapungufu.
Kama ni hivyo basi hakuna kitu hakihitaji uvumilivu.Ahaaa, sasa nikwambie rafiki yangu, hapo unapotaja uvumilivu ndio " utumwa" huo,nadhani wote tumeelewana sasa. Asante san kwa kurudi na ufafanuzi safi kabisa.
Tofauti kwa jibu lako ni kwamba ukijiajiri unakuwa wewe ndio BossKama ni hivyo basi hakuna kitu hakihitaji uvumilivu.
Ukijiajiri iinahitaji uvumilivu wa kuendelea kujiajiri.
Hivyo kwa mujibu wako maana yake hata ukijiajiri basi ni mtumwa kwa sababu unahitaji uvumilivu.
Hivyo
ha ha we acha kuzungusha maeneno utumwa kitu kibaya sana sana acha kabisa. Bora kazi uwe huipendi mf. kusafisha choo ila mpunga mreeeeefu kama 1.5m au zaidi kwa mwezi na( unasafisha mara 2 tu kwa siku,) utavumilia na unaweza ukabadilika ukaanza kuipenda na kufurahia hiyo kazi. Utafanya kazi mbaya familia unaweza ukabana wasijue unafanya kazi gani lakini maisha yanaenda.Unakuwaje bosi bila mteja ?
Mteja ndo bosi wako kwa sababu ndo anakulipa pesa kwa kununua vitu vyako.
Bila shaka hoja yangu imekufika vizuri.ha ha we acha kuzungusha maeneno utumwa kitu kibaya sana sana acha kabisa. Bora kazi uwe huipendi mf. kusafisha choo ila mpunga mreeeeefu kama 1.5m au zaidi kwa mwezi na( unasafisha mara 2 tu kwa siku,) utavumilia na unaweza ukabadilika ukaanza kuipenda na kufurahia hiyo kazi. Utafanya kazi mbaya familia unaweza ukabana wasijue unafanya kazi gani lakini maisha yanaenda.