Ajira sio utumwa ukiwa katika kazi ya ndoto yako unayoipenda

Yaaa umechambua vyemaa sana
 
Me pia nishasikia kuhusu chriss mauki
Mkuu mambo ya mtu muachie mtu mwenyewe,sio vyema kweli kutaja ubaya wa mtu hadharani wakati yeye anajificha wala halali nao barabarani hao wadada
 
Nimesema "KWELI NI MDOGO..."

pia nikasema kuinjoy kwake ni kukubwa kuliko machungu ya kutokuongezewa kiasi fulani cha pesa.

Sikukataa kuwa hakuna machungu.

Sikukataa kuwa mshahara mdogo.

Lakini ikija ishu ya kupenda kazi yako basi utavumilia mengi tu na hiyo ndo kupenda kwa kweli ,kupenda kwa kweli kuvumilia mapungufu.
 
Ahaaa, sasa nikwambie rafiki yangu, hapo unapotaja uvumilivu ndio " utumwa" huo,nadhani wote tumeelewana sasa. Asante san kwa kurudi na ufafanuzi safi kabisa.
 
Ahaaa, sasa nikwambie rafiki yangu, hapo unapotaja uvumilivu ndio " utumwa" huo,nadhani wote tumeelewana sasa. Asante san kwa kurudi na ufafanuzi safi kabisa.
Kama ni hivyo basi hakuna kitu hakihitaji uvumilivu.

Ukijiajiri iinahitaji uvumilivu wa kuendelea kujiajiri.

Hivyo kwa mujibu wako maana yake hata ukijiajiri basi ni mtumwa kwa sababu unahitaji uvumilivu.

Hivyo
 
Tofauti kwa jibu lako ni kwamba ukijiajiri unakuwa wewe ndio Boss
 
Unakuwaje bosi bila mteja ?

Mteja ndo bosi wako kwa sababu ndo anakulipa pesa kwa kununua vitu vyako.
ha ha we acha kuzungusha maeneno utumwa kitu kibaya sana sana acha kabisa. Bora kazi uwe huipendi mf. kusafisha choo ila mpunga mreeeeefu kama 1.5m au zaidi kwa mwezi na( unasafisha mara 2 tu kwa siku,) utavumilia na unaweza ukabadilika ukaanza kuipenda na kufurahia hiyo kazi. Utafanya kazi mbaya familia unaweza ukabana wasijue unafanya kazi gani lakini maisha yanaenda.
 
Bila shaka hoja yangu imekufika vizuri.

Kama ishu ni uvumilivu basi hata kujiajiri ni utumwa kwa sababu kujiajiri pia kuna uvumilivu.

Kwa hivyo kw hapa nadhani hautokuwa tena na hoja kwamba kuvumilia kitu ndio utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…