Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

Attachments

  • IMG-20230207-WA0003.jpg
    IMG-20230207-WA0003.jpg
    11.1 KB · Views: 11
Uliona ukisoma ualimu saa hizi ungekuwa u NALIA NGWENA Kama sisi
Wakati na-apply chuo, ualimu maalum wa shule ya msingi niliweka mwisho kabisa kwenye awamu ya nne mana kwenye madirisha matatu yote walinikataa afu hy diploma in film production ilikuwa chaguo la kwanza.

Sasa kwenye majina nikaona jina langu lipo kwenye hizo kozi mbili yani ualimu na film production, lkn kwenye ile joining instructions wakaandika film production 😂 ht hvy nilishukuru Mungu mana nngechaguliwa ualimu nisingeenda.
 
Ww jamaa DOMINGO THOMAS hujui kitu afu mbishi knoma wakati watu tunataka kukusaidia, sasa ww endelea na ubishi wako afu utajuta baadaye
Hapa tunazungumzia tamisemi afu ww unakuja na vipicha vyako vya ajira portal.
 
Back
Top Bottom