Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria )

Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
Huu utaratibu mnautoa wapi?????????????????...... Tamisemi hakuna iyo habari.....scani vyeti original tu
 
Wahitimu wa shahada kabisa hawajiamini. Elimunyetu inahitaji ukarabati wa hali yanjuu sana.
 
Kwenye system zote za serikali lazima tu-upload vyeti vilivyo kuwa certified i.e Ajira Portal
Hivi profile ili usome 100% inahitaji nn?
Alafu kwenye academic qualifications nishaweka veti sasa hapa chini kuna sehemu inadai niweke veti tena vilivyo citified he nirudie vile nilivyo viattach kule juu au
 
Tamisemi Huwa haina mambo ya ku certify labda ajira portal utumishi
 
Back
Top Bottom