Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 842
- 982
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia mfumo upi sasa hapa?Hivi profile ili usome 100% inahitaji nn?
Alafu kwenye academic qualifications nishaweka veti sasa hapa chini kuna sehemu inadai niweke veti tena vilivyo citified he nirudie vile nilivyo viattach kule juu au
Hivi unajua maana ya "copy of the original"?Kama ni copy Sawa, mwana sheria lazima a certify,
Ila kama original ata certify wapi sasa,? Kitu ambacho hakipo na haiwezekani
Mtoa mada akiona hii atatamani amrudie yule mwanasheria wake aliyempiga 20k ya muhuri 😂Soma kwenye doti nyekundu hapo tamisemi hawa View attachment 2597585
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukicertifai kuna tatizo?Mtoa mada akiona hii atatamani amrudie yule mwanasheria wake aliyempiga 20k ya muhuri 😂
Hilo tangazo linasema sio lazima, hvy ushauri wangu usipige mhuri. Scan vyeti vyako original Tia kwenye system afu tulia omba Mungu.Mkuu ukicertifai kuna tatizo?
Ukicertifai vibaya maana nishaeza certified copyHilo tangazo linasema sio lazima, hvy ushauri wangu usipige mhuri. Scan vyeti vyako original Tia kwenye system afu tulia om
Nadhani system inaruhusu kuondoa cheti na kuweka kingine, kama umeamua kuweka vyeti OG bc bado nafasi ipo na muda upoUkicertifai vibaya maana nishaeza certified copy
Ajira Portal
Atavitumia kwa ajira portalMtoa mada akiona hii atatamani amrudie yule mwanasheria wake aliyempiga 20k ya muhuri [emoji23]
DOMINGO THOMAS
Niwe najua, au sijui 😏😏😏Hivi unajua maana ya "copy of the original"?
Hakuna mahali wamesema ni muhimu
Ajira portal hatutaki waalimu wa shule za msingi na sekondari 😂
Acheni upumbavu mbona mnapotosha watu Kwan tangazo hamjalielewa? Mbona mnakuwa na vichwa vigumu hivyo?Wadogo zangu mnaoapply kazi sikilizeni, USIWEKE VYETI ORIGINAL KWENYE MFUMO(SCAN). Wekeni CERTIFIED COPIES.
Standard ya dunia nzima unapoomba kazi kupitia online, vyeti unavyoweka ni muhimu viwe ni CERTIFIED COPIES.
Ni kweli tamisemi wamesema "siyo lazima" kuweka certified copies, ila ni muhimu.
Na hata cheti cha kuzaliwa wamesema uweke "Nakala", hawajasema muweke cheti original.
Wanaowaambia muweke scanned docs wanawapoteza.
View attachment 2598036