Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

Soma kwenye doti nyekundu hapo tamisemi hawa
IMG-20230417-WA0012.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tangazo linasema sio lazima, hvy ushauri wangu usipige mhuri. Scan vyeti vyako original Tia kwenye system afu tulia om
Ukicertifai vibaya maana nishaeza certified copy
 
Ila watu n wengi afu nafasi ni chache, hvy isije ikatokea bahati mbaya umekosa nafasi ukajiona ulkosea kuweka vyeti OG badala ya vilivyo pigwa muhuri, angalia tangazo linasemaje afu fuata akili yako itakapokupeleka

Palina
 
Wadogo zangu mnaoapply kazi sikilizeni, USIWEKE VYETI ORIGINAL KWENYE MFUMO(SCAN). Wekeni CERTIFIED COPIES.

Standard ya dunia nzima unapoomba kazi kupitia online, vyeti unavyoweka ni muhimu viwe ni CERTIFIED COPIES.

Ni kweli tamisemi wamesema "siyo lazima" kuweka certified copies, ila ni muhimu.

Na hata cheti cha kuzaliwa wamesema uweke "Nakala", hawajasema muweke cheti original.

Wanaowaambia muweke scanned docs wanawapoteza.

Screenshot_2023-04-24-12-56-35-701-edit_com.google.android.apps.docs.jpg
 
Wadogo zangu mnaoapply kazi sikilizeni, USIWEKE VYETI ORIGINAL KWENYE MFUMO(SCAN). Wekeni CERTIFIED COPIES.

Standard ya dunia nzima unapoomba kazi kupitia online, vyeti unavyoweka ni muhimu viwe ni CERTIFIED COPIES.

Ni kweli tamisemi wamesema "siyo lazima" kuweka certified copies, ila ni muhimu.

Na hata cheti cha kuzaliwa wamesema uweke "Nakala", hawajasema muweke cheti original.

Wanaowaambia muweke scanned docs wanawapoteza.

View attachment 2598036
Acheni upumbavu mbona mnapotosha watu Kwan tangazo hamjalielewa? Mbona mnakuwa na vichwa vigumu hivyo?

Ajira portal - utumishi wanataka u certified copies ila tamisemi hakuna huo utaratibu
 
Back
Top Bottom