Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Huyu Dr. HIS Exelence alijua kuact fair. Na Mungu lazma awe fair kwake.. Hata wangesaga kunguni za nyuklia.. [emoji3]Duh
Duh pole mkuu ungekua ushapanda madaraja hata mara 2 aisee tumchomee ubani kikwete apewe afya njema na allah
Ikiwa ivyo ni usanii na kukosa ubinadamu. Kuna wakat walisema ngaz ya chet inafutwa walimu wakajiendeleza iweje wawaache wa diplom, degrii na na post wachukue wa vyeti.?Hizo ajira ni special Kwa diploma na cheti. Kama wewe ni degree holder hesabu maumivu tu
Tuombe mungu Tu maana certificate wanalamba Sana ajira kuliko diplomaNyie ndo mnatakiwa sasa hivi.
Mkuu mtu KUKUSAIDIA KAZI hasa za ajira serikali huyo anawez kuwa n mungu WA tatu dunianConnection za ualimu nyingi ni za madalali tu so sio za uhakika sana ndo maana upigwaji ni mwingi sana. Naposema ni za madalali namaanisha si kawaida uwe na ndugu wa karibu Tamisemi afu asubiri hadi ajira za walimu kukupa connection iilihali kuna uwezekano wa michongo ya maana zaidi ya ualimu.
Hahaaa acha lamli mzee, vp hist,geog,kiswDip na cert,degree za early childhood education na phy fueni mabegi niny huakika wengine wa lit, engl,chem,bio,math mtakua kwa mbali sanaaaa 1/100 .lamdah mwakani mwaweza fikiliwa mana uchaguzi wakalibia.
Hakik mwezii huuuu pdf itatemaSubira yavuta kheri...
Mungu anisaidie, nasema kwa dhati kabisa.Nimesoma Bachelor of Education in Early childhood,teaching subject, English language na nimemaliza 2017,Mungu anione.Nimekaa kitaa,najaribu mishe,mara zinakubali,mara zinagoma,mara mtaji umeisha na umri unazidi kuongezeka.Mungu anisaidie,inachanganya sana.Dip na cert,degree za early childhood education na phy fueni mabegi niny huakika wengine wa lit, engl,chem,bio,math mtakua kwa mbali sanaaaa 1/100 .lamdah mwakani mwaweza fikiliwa mana uchaguzi wakalibia.
Pole sana mzee, hizi nafas kweli ni bahat tu kuchomoka, kuna jamaa kamliza 2019 koz kma hyo yeye kabahatika mwaka jana,Mungu anisaidie, nasema kwa dhati kabisa.Nimesoma Bachelor of Education in Early childhood,teaching subject, English language na nimemaliza 2017,Mungu anione.Nimekaa kitaa,najaribu mishe,mara zinakubali,mara zinagoma,mara mtaji umeisha na umri unazidi kuongezeka.Mungu anisaidie,inachanganya sana.
Mwaka jana wamechukua sana wa kozi hiyo,ila nilikosa,ngoja nione na mwaka huu.Mungu anisaidie,familia yangu itafurahi nami sana.Mama ananiombea pia nipate,apate nafuu ya maisha.Kukwama kwangu,wanaumia wengi nyuma yangu.Pole sana mzee, hizi nafas kweli ni bahat tu kuchomoka, kuna jamaa kamliza 2019 koz kma hyo yeye kabahatika mwaka jana,
Amen mkuu,ukipata uje utoe ushuhuda humuMwaka jana wamechukua sana wa kozi hiyo,ila nilikosa,ngoja nione na mwaka huu.Mungu anisaidie,familia yangu itafurahi nami sana.Mama ananiombea pia nipate,apate nafuu ya maisha.Kukwama kwangu,wanaumia wengi nyuma yangu.
Amina.Amen mkuu,ukipata uje utoe ushuhuda humu
Ushauri mzuri, ila binafs kwakuwa nmepitia uzoefu huo na mpaka sasa naendelea kukomaa kitaa, siwalaumu vijana kukomaa na ajira za serikali wako sawa kabisa tuwatie moyo.Vijana wezangu....fikilieni nje ya box....ajira hakuna kama umesoma
Geography
History
Kiswahili
Jichanganye kitaa mishe zipo nyingi sana nyingi tuu.....
Acheni maisha ya kutegemea ajira za selikali...