Ajira za ualimu na Afya

Ajira za ualimu na Afya

Hizo ajira ni special Kwa diploma na cheti. Kama wewe ni degree holder hesabu maumivu tu
Ikiwa ivyo ni usanii na kukosa ubinadamu. Kuna wakat walisema ngaz ya chet inafutwa walimu wakajiendeleza iweje wawaache wa diplom, degrii na na post wachukue wa vyeti.?

Watoto wa leo wana access na Materials mbalimbali mwalm wa certificate na diploma anamwambia nini mtt wa 5G??????????????
 
Connection za ualimu nyingi ni za madalali tu so sio za uhakika sana ndo maana upigwaji ni mwingi sana. Naposema ni za madalali namaanisha si kawaida uwe na ndugu wa karibu Tamisemi afu asubiri hadi ajira za walimu kukupa connection iilihali kuna uwezekano wa michongo ya maana zaidi ya ualimu.
Mkuu mtu KUKUSAIDIA KAZI hasa za ajira serikali huyo anawez kuwa n mungu WA tatu dunian

***** wa Tz kusaidian n ngumu
 
Dip na cert,degree za early childhood education na phy fueni mabegi niny huakika wengine wa lit, engl,chem,bio,math mtakua kwa mbali sanaaaa 1/100 .lamdah mwakani mwaweza fikiliwa mana uchaguzi wakalibia.
 
Hahaaa acha lamli mzee, vp hist,geog,kisw
 
Dip na cert,degree za early childhood education na phy fueni mabegi niny huakika wengine wa lit, engl,chem,bio,math mtakua kwa mbali sanaaaa 1/100 .lamdah mwakani mwaweza fikiliwa mana uchaguzi wakalibia.
Mungu anisaidie, nasema kwa dhati kabisa.Nimesoma Bachelor of Education in Early childhood,teaching subject, English language na nimemaliza 2017,Mungu anione.Nimekaa kitaa,najaribu mishe,mara zinakubali,mara zinagoma,mara mtaji umeisha na umri unazidi kuongezeka.Mungu anisaidie,inachanganya sana.
 
Pole sana mzee, hizi nafas kweli ni bahat tu kuchomoka, kuna jamaa kamliza 2019 koz kma hyo yeye kabahatika mwaka jana,
 
Pole sana mzee, hizi nafas kweli ni bahat tu kuchomoka, kuna jamaa kamliza 2019 koz kma hyo yeye kabahatika mwaka jana,
Mwaka jana wamechukua sana wa kozi hiyo,ila nilikosa,ngoja nione na mwaka huu.Mungu anisaidie,familia yangu itafurahi nami sana.Mama ananiombea pia nipate,apate nafuu ya maisha.Kukwama kwangu,wanaumia wengi nyuma yangu.
 
Amen mkuu,ukipata uje utoe ushuhuda humu
 
Vijana wezangu....fikilieni nje ya box....ajira hakuna kama umesoma
Geography
History
Kiswahili
Jichanganye kitaa mishe zipo nyingi sana nyingi tuu.....

Acheni maisha ya kutegemea ajira za selikali...
Ushauri mzuri, ila binafs kwakuwa nmepitia uzoefu huo na mpaka sasa naendelea kukomaa kitaa, siwalaumu vijana kukomaa na ajira za serikali wako sawa kabisa tuwatie moyo.

Uhalisia wa kitaa ni mgumu sana, hata mwenye jitihada(bidii) kabisa anakwama kupata hata kibarua cha kupakiza tofali kwenye gari kupeleka site maana hata hiyo tu inahitaji connection, akisema asukume toroli nako kupata wateja ni kwa kujuana. Kwa mwenye mtaji, kama tunavozijua biashara zetu ndogondogo nyingi ni za kujiripua tu, so kuanguka(kupoteza mtaji) ni kwingi sana na inapelekea kijana kukata tamaa kabisa. Hivyo zinapotokea fursa za ajira hivi kijana anaomba walau akatumie taaluma yake kupata kipato cha kuendesha maisha yake.
 
Back
Top Bottom