chiyelu
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 157
- 408
Hakuna kitu ambacho kipo smooth Brother....Mimi nimemliza degree 2016 nimefany EducationUshauri mzuri, ila binafs kwakuwa nmepitia uzoefu huo na mpaka sasa naendelea kukomaa kitaa, siwalaumu vijana kukomaa na ajira za serikali wako sawa kabisa tuwatie moyo.
Uhalisia wa kitaa ni mgumu sana, hata mwenye jitihada(bidii) kabisa anakwama kupata hata kibarua cha kupakiza tofali kwenye gari kupeleka site maana hata hiyo tu inahitaji connection, akisema asukume toroli nako kupata wateja ni kwa kujuana. Kwa mwenye mtaji, kama tunavozijua biashara zetu ndogondogo nyingi ni za kujiripua tu, so kuanguka(kupoteza mtaji) ni kwingi sana na inapelekea kijana kukata tamaa kabisa. Hivyo zinapotokea fursa za ajira hivi kijana anaomba walau akatumie taaluma yake kupata kipato cha kuendesha maisha yake.
Mojor Geograph
Minor History
Tupo wengi sana mtaani mmi nimejikita kwenye kilimo kinanilipa nilianza kulima heka 2 mwak 2017.....
Kwa Sasa nalima heka 10 pia nafanya biashara ya mazao kidgo ....hakuna kukata tamaa ajira zikukutie mbali ....cc tuna mwanga wa elim kidgo .. karibu ,Omba Mungu ,tia bidiii .....
Sio kama nimefanikiwa hapana lakini namshukuru Mungu familia yang inapta mkate..
Tufnye kaz ambazo sio rasmi
Vua joho
Weka chet ndani
Jichanganye....Mungu yupo...
Post zikitoka omba ukipata fresh
Ukikosa komaa na mishe umri haukusubiriii...